Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

Mmekula FFAMBA bab kubwa! jimbo la birmingham ke ke ke! Aliwalaghai na sasa anavuliwa ubunge mmenyujwa hayoooooooo! checheme hhhoyyyee
 
Tapeli tu huo.

Waumini wake wamdai na zile pesa za treni alizodai amashakusanya tayari kuwanunulia treni .......... !!
 
Hili jimbo la biringanya linapatikana wapi?
 
Yeye mwenyewe hajawahi kufika
 
Ngoja amalizane na chanjo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…