mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Mmekula FFAMBA bab kubwa! jimbo la birmingham ke ke ke! Aliwalaghai na sasa anavuliwa ubunge mmenyujwa hayoooooooo! checheme hhhoyyyeeAskofu Gwajima, katika ahadi zako ulituhaidi vijana wa kawe kuwa utatupeleka jimbo la Birminghama Marekani ili tukabadilishane ujuzi na vijana wa huko kwaajili ya manufaa ya kawe,
vile vile mbali na hilo ulituhaidi kutupatia chuo cha uvuvi,
sasa tunaona siku zinaenda tu umekalia kisabengo kushadadia vitu usivyokua hata na ujuzi navyo,
tunaomba utupe tamko vijana wako wa kawe tuendelee kujiandaa, ni lini hasa safari ya Birmingham itakua tayari
View attachment 1886301