Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko busy kupeleka watu mbinguni huko marekani mtasubiri Sana.Ndio mbunge wetu alituahidi sisi vijana wa kawe atatupeleka marekani kupata ujuzi wa mambo ya hapa na pale
Hivi vyuo vya uvuvi mmejengewa tayari?
Treni ya umeme je?? Imeshafika??Hivi vyuo vya uvuvi mmejengewa tayari?
HahahahaPole sana, ingelikuwa sio Covid 19, wewe siku nyingi ungeishakuwa uko US!.
Vuta subra, Covid ikiisha, atakupeleka.
P
Kwa hivo kabisa Krav nawewe uliafiki kuamini kabisa maneno hayo kutoka kwenye kinywa cha anayejiita mwanasiasa akisaka tonge?Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.
Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
DuhHuyu mh. Mbunge wa kawe watu wanamtafuta Kawe sokoni aliahidi ujenzi wa soko na barabara kuelekea kanisa la KKKT lakini wapi hata kupita kusalimia haonekani nadhani ataonekana tena 2025.
Watu wa Makonde Kwenye shule karibu nne wanamtafuta awaeleze ni kwanini Lami iliishia Shopperz tu ilihali nao ni walipakodi wazuri lakini lami haikuendelea mpaka makonde haonekani. Watu wamtafuta wamuulize ni kwanini Lami inaelekea kwa Lukuvi na Chibu dangote lakinj mitaa yenye mabepari ya kina Temu lami haikupigwa na ndio walipa kodi wakubwa haonekani
Ccm mlikosea sana kumsimika huyu mchunga kondoo wa bwana kwani jimbo lake watu wanamuulizia na barua,email wanamtumia mheshimiwa vipi vyuo vya uvuvi, miundombinu mbona kimya hata greda la manispaa lipite tuu lichonge barabara yeye kajichimbia Dar au dodoma . Mh mtume hata Metuselah aje aseme na wananchi wenyeviti wanafunga ofisi wanaogopa maswali magumu.
Ukimuamini Askofu Rashid Gwajima utaamini kuwa Afghanistan iko Latin America.Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.
Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
mambo mengine ndio yapi hayo?Tafuta hela mkuu mawazo yabadilike..uanze kuwaza mambo mengineyo
Watakua kama wale wasabato wa mavuno.....Mtaenda kwenye hilo jimbo kwa njia ya maombi na sio kwa Ndege.
🤣🤣🤣🤣