Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

Wakati dunia inafurahia matokeo ya teknolojia kurahisisha maisha huku kwetu inaonekana kero kwa wateule.

Na wanajipanga kuzipiga pini WhatsApp call na Messenger call kisa zinawazuia kupata mapato yanayotokana na utumiaji wa mitandao kupiga international calls.

Hawa jamaa wanawaza mapato tu!
 
GB 1 Kwa Tsh 9000 hyo haipo! Tushawah nunua Tsh 500 Kwa mb 70 Ila sa hv tunanunua TSH 500 Kwa mb 500. Hzo ni propaganda tu
Kwa maneno ya waziri alisema kwa kifurushi kisicho Isha muda GB1 itauzwa kuanzia 2,000 mpaka 9,000
 
Wakati dunia inafurahia matokeo ya teknolojia kurahisisha maisha huku kwetu inaonekana kero kwa wateule. Na wanajipanga kuzipiga pini WhatsApp call na Messenger call kisa zinawazuia kupata mapato yanayotokana na utumiaji wa mitandao kupiga international calls.
Hawa jamaa wanawaza mapato tu!
Nchi yetu bana
 
Wakati dunia inafurahia matokeo ya teknolojia kurahisisha maisha huku kwetu inaonekana kero kwa wateule. Na wanajipanga kuzipiga pini WhatsApp call na Messenger call kisa zinawazuia kupata mapato yanayotokana na utumiaji wa mitandao kupiga international calls.
Hawa jamaa wanawaza mapato tu!
Hii imetolewa ufafanuzi, haipo kama ilivyonukuliwa na gazeti la mwananchi.
 
Ndugulile ulionekana una akili lakini ghafla umekabidhi ufahamu na kubaki na ujinga.
1615361928400.png

Nami nimemdharau kabisa huyu mtu, ilifaa hii Wizara iongozwe na mtu wa fani hiyo,
 
Ki ukweli tunajua ni mtu smart kichwani hata kipindi anatolewa ile issue ya Covid ya kwanza tulisikitika sana sababu tulijua alisimamia uweledi wake.

Alivyopewa Wizara hii inayogusa maisha yetu tukajua YES Wizara kapewa mjanja kumbe salaleeeee hizi pigo mbili tu za week hii ni hatari sana,first ile ya kuwaruhusu kampuni za simu kupiga hadi 9000 kwa gb 1 (alidai atapunguza bei za bundles kumbe kavurunda hatari).

Pili ni mambo ya whatsap call,dah Lord have mercy on us,these are the same people wanaotembelea ma v 8 na kutuambia tujiajiri,ukijaribu kujiajiri kwa kutumia teknolojia hii ya internet anatokea waziri na mipango ya kuweka vikwazo vya ajabu ajabu
Kwani mnataka kutengeneza jeshi la aina gani la ma jobless,jamani kama ni FRUSTRATIONS zimetoisha ,MMESHINDA NAMBA ZINASOMEKA HADI WATU WANACHANGANYIKIWA tuacheni tupumue basi..WE CANT BREATHE

Yaani hata kuingia YouTube kuangalia comedy clips kucheka nayo ishindikane?kuongea na mtu wa abroad via whatsapp call kuna watu roho inawauma?au ni chanzo cha mapato?

Imagine hii nchi hata PAYPAL hairuhusiwi hapo ndipo ninapowaonega wivu wakenya kwenye issues hizi za teknolojia BAADA YA VURUGU ZOTE HIZI UTASIKIA VIJANA WA IT WA TANZANIA MMELALA SANA JIAJIRINI

SO FAR NDIYE WAZIRI AMBAYE WANANCHI WAMESHINDWA KUMUELEWA HASWA WA MTANDAONI WANAMUONA KAMA ANA NIA OVU YA KUWAFANYA WASIWEZE HATA GHARAMA ZA KU SURF

Screen Shot 2021-03-10 at 10.40.39 AM.png
 
Huyu tunamshukuru kwa jambo moja tu... kutuondolea kelele za Bashite hapa mjini. Baada ya hapo anaweza akasepa zake tu, hana msaada zaidi ya huo
 
Kwa kweli hii ni kama kushindana na teknolojia. Usishangae kuenda wanafikiria kuturudisha kule kule kwenye kutumia barua kwa njia ya posta ili kuongeza mauzo ya stempu. What's a shame.

Waziri umeanza vizuri, ila kwa hili la kukinzana na matumizi ya teknolojia rahisi na nafuu unawaza kufeli.
 
Eeeehh tunaenda wapi tena jamani? Yaani kupiga simu kwa WhatsApp au Video calling wanasema watazuia? Eeehh yaani hapa sasa wanatafuta vita na wananchi.. This is bad jamani. So Waziri anataka kushindana na technology, anaturudisha nyuma.
 
Back
Top Bottom