Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

Hii Wizara soon tunampa January Makamba naona Ndugulile anambwela.
 
Tutarudi kwenye vifurushi vya sms za kawaida sasa mweee.
 
Habar wadau

Yaan jamaa kila wakikaa chin wanawazs tu tukakusanye mzigo na sio wap tukaboreshe maisha yaan asikufiche mtu hskuna kitu gharama km international call vocha itabid uweke 5000 kwenda mbele sasa wakaona hx internet call zinabana sn sasa wameamua moja kuzifutilia mbal na sio kudhusha gharama za international call hii ndio sababu serikal huwa inazuiwa isifanye biashara hawajuu biashara wanatumia mamlaka kufunga biashara zengine ilibak yy tu tunarud enz xa ujamaaaa.

Inasikitisha
 
Back
Top Bottom