Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Project Engineer

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2019
Posts
3,578
Reaction score
6,103
Habari wanaBodi.

Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili

'maendeleo hayana vyama'
 
Je wewe unaweza kumiliki kisima cha maji alafu uwaache watoto wako wafe kwa kiu?
 
Kwani ule msemo wa mjini kila kitu niconnection hujajua maana yake!
 
Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..

Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
 
Back
Top Bottom