Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..

Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
najitahidi kukuelewa
 
Amwache mtoto wake akuteue wewe
download (1).jpeg
 
Back
Top Bottom