Naona unataka kumshushia mtu Lawama badala ya wazazi wakoHabari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Ha ha haWrite your reply...Wapo mkuu mtaani kwetu kuna ndugu wa familia moja kama wa3 hv na wote hawana kazi toka wamemaliza chuo 2015 mpka leo na baba yao namskia akiitwa kiongozi mtaani kijiweni kwake anapocheza bao
Huu mwandiko kiboko asee😂😂Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..
Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Hizo fununu tu ila le mutuz ana online tv tuNilikuwa nawaza le mutuz ila kuna fununu ni mmoja wa wakurugenzi wa wasafi..
ulizia DAS wa wilaya ya morogoro mjini ni naniDuh ndiyo nasikia leo
Ha ha ha ha nilikuwa sina taarifa.ulizia DAS wa wilaya ya morogoro mjini ni nani
Kwao huwa ni uamuzi. Mambo ya familia, si watoto wote wako katika mstari, kuna watakaokuwa na mambo yasiyoeleweka ikiwamo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi au kuvurunda au kutotaka kufanya lolote kwa ujumla.Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Hawajastaafu bado?Watoto wa mwl.Nyerere hawana kazi.
Umachinga ndiyo kazi yako, kwa hiyo wewe una ajiraMimi sina kazi japo Nina degree
Ni mmachinga wa kutembeza mitumba
Hata kama hakufaulu vizuri ana kazi.Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
NdiyoUmachinga ndiyo kazi yako, kwa hiyo wewe una ajira
Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..
Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Mtoto wa Magufuli ni DAS morogoro mjini nadhani ushanipata
Watoto wa mwl.Nyerere hawana kazi.
Mtoto wa DC Mbeya ambaye ni mkuu wa halmashauri mbili Hana kazi, alijitolea bomani na sasa anajitolea Kama mtendaji wa Kijiji furani huko mbeya vijijini