Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Haiwezekani mkuu,kuna issue inaitwa connection
 
Huo ndio ukweli
Hahah ni ndoto hizo.

Lkn watoto wa maskini ndio wanaambiwa chukueni hiki kitambulisho cha umachinga mkachape kazi maana tatizo la ajira ni dunia nzima/serikali haiwezi kuajiri watu wote.
 
We unasema watoto umeenda mbali Sana kuna jamaa ni mjomba wake na Suleiman jafo hata hajamaliza chuo ilikuwa kashapata kazi sehemu mbili dodoma na dar Ila akachagua dar mpaka Sasa yupo dar anafanya kazi sehemu Ila watoto wa mama ntilie sasa
 
Duh!
Huyo waziri si anasifika kwa uadilifu?
 
Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Haiwezekani,
Jana nirikuwa nafuatilia ufisadi wa Kenya,sasa hv kule Kenya Kuna kitu kinaitwa"RELATHIEVES"sio relatives(undugu),iliyopo ni undugu wa kuiba,
Unakuta Governer wa county flani,Tenda zote nini,zinaenda kwenye makampuni yanayomirikiwa na familia yake,watoto,mke,ndugu.
 
Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..

Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Jifunze kiswahili wewe jua namna ya kuangalia mawazo yako
 
Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..

Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
Andika kwa kiswahili
 
Wao wapo matawi ya juu hivyo ni rahisi kuchuma matunda, jitahidi upande juu nawe utachuma
 
Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Rizwan ameajiriwa wapi? Hussain mwinyi kaajiriwa wapi?
 
Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..

Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
N
 
Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Ngoja nitamuuliza mama Mari eti madaraka na makongoro wameajiriwa wapi?
 
watoto watatu wa kikwete hawana kazi Ali,Khalifa na mwana asha japo baba yao ni rais mstaafu angeweza kuwaweka hata benki kuu
Si wako wanasimamia miradi ya familia,sasa ajira gani tena wanahitaji mzee baba?
 
watoto watatu wa kikwete hawana kazi Ali,Khalifa na mwana asha japo baba yao ni rais mstaafu angeweza kuwaweka hata benki kuu
Sio kwamba hawana kazi ila wanachagua kazi au hawataki tu. Raisi ndio muajiri mkuu nchini kumbuka hilo.
 
Watoto wa mwalimu Nyerere wanafanya kazi gani?
 
Back
Top Bottom