Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Labda watoto wa viongozi wa Scandinavia ndio hupanga mstari mmoja na watoto wa machinga
Mzee baba hua anasema unawezaje kumpa chakula mtoto wa jirani wkt mtoto wako wa kumzaa ana njaa?

Iweke hio kauli kwny utafutaji wa ajira unaweza ukaipatia picha kamili.
 
Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Hata kilaza Jesca John Pombe Magufuli ni DAS akiwaacha bila kazi vipanga waliokuwa wakimfunga tela pale UDOM.
 
Watoto wao wanapewa nafasi nono zenye ulaji halafu nyie watoto wa makapuku mnaambiwa MKAJIAJIRI.

Mnapewa na kakitambulisho uchwara cha machinga.

Ukiuliza unaambiwa mbona hata marekani haina ajira!

Ukiuliza ni marekani gani hiyo isiyo na ajira unaambiwa unaleta uchochezi dhidi ya Jamuhuri!

Wanaishi kwa kodi za wananchi lakini hata nidhamu ya kutoa majibu sahihi hawana.
 
Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Naibu waziri mmoja aliingiza watu kama 6 kazini polisi raisi akashtukia mchezo unakumbuka hii issue?
Sasa hao ni watu baki je mtoto wake wa kumzaa anaanzaje kukosa ajira?
Ukiona mtoto wa mkubwa kakosa ajira basi inawezekana
1. Haajiriki/mlevi/mtovu wa nidhamu
2. Anachagua ajira
3. Hataki tu kuajiriwa.
CC: Le Mutuz
 
Mzazi yoyote mwenye akili na nmtafutaji tokea zaman mwanae hawezi kuwa jobless. Au kaz ni mpaka mtoto aajiriwe. Nawacheki tu watu wanavyojiangaisha na kulipa mamilioni ili watoto wajue kiingereza then mtoto anajakuwa jobless. Kiingereza n lugha tu watanzania
 
Suala la kila muntu ana karama yake ni uongo mtupu na linatumiwa na wajanja ili kuwafunguia wengine nje ya fursa wasiweze kuziwazia na kuzifikia.
Ndio maana Watanzania wengi muko mulivyo.. Rais Magufuli akisema muchape kazi.. ninyi munapoteza muda.. kutaka kuwa wengine.. kila muntu ana karama yake.. nyanyuka kafanye biashara au voluntia mupate ujuzi.. hata mukitaka kuajiriwa.. itakuwa ila musikae chini.. kusubiri..

Mukisema kazi ni konektion.. mujue hamuna kile kinatakiwa.. na wengi hamusomi hata juu ya intavyuu.. munakwenda tu.. uvivu mwingi.. musome mitandaoni kujifunza.. mupunguze ya kulalamika na udaku..
 
Na ukosefu wote huu wa ajira, na kiburi chao cha kuwakashifu maelfu ya wahitimu wanaotaabika mitaani, bado mtu mmoja ana ujasiri wa kuwaambia watu wazae kama sungura.

Hafahamu kwamba idadi kubwa ya watu katika umasikini mzito kama huu ni chanzo kikubwa cha ukosefu wa ajira?

Ati zaeni tuuuu mnavyotaka!

Kupanga ni kuchagua!
 
Watoto wa kabudi hawana kazi,wamerandana kweli kweli na baba yao hasa leenye mimacho
.
20200906_121558.jpg
 
Hata kwa nchi zilizoendelea huko za wazungu, kama baba yako ni mkubwa wa kampuni fulani au kwenye serikali
wanaunganishia watoto wao hata kwenye kampuni ingine anajuana na mkubwa hiyo kampuni au kwenye idara za serikali

Ni kupampambana kivyako kama huna connection hakuna jinsi
 
Back
Top Bottom