Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
Je wewe unaweza kumiliki kisima cha maji alafu uwaache watoto wako wafe kwa kiu?Habari wanaBodi.
Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters nk ambao ni majobles wanatafuta ajira je inawezekana kweli?
Karibuni tujadili
'maendeleo hayana vyama'
Duh ndiyo nasikia leoMtoto wa Magufuli ni DAS morogoro mjini nadhani ushanipata
Mimi sina kazi japo Nina degreeWewe unayo kazi/ajira?
Mtoto wa DC Mbeya ambaye ni mkuu wa halmashauri mbili Hana kazi, alijitolea bomani na sasa anajitolea Kama mtendaji wa Kijiji furani huko mbeya vijijiniHaiwezekani na haitokuja kutokea mpaka dunia hii inageuka miguu chini juu
Lakini kweliikazi siku izi ni connection, na izo nafasi za uongozi ulizozisema ni connection moja safi kabisa unaanzaje kukosa kazi wakati hao uliowataja ndio wagawa kazi na watoa kazi
Unasemaje huna kazi wakati ni mmachinga wa kutembeza mitumba? Hiyo ndio kazi yako isiionee aibu.Mimi sina kazi japo Nina degree
Ni mmachinga wa kutembeza mitumba
Kumbe ndiyo tafsiri yake?Kwani ule msemo wa mjini kila kitu niconnection hujajua maana yake!