Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

Watoto wa mwalimu Nyerere wanafanya kazi gani?
Happy Ni wanasiasa hyo pesion tu ya mama yao na inayoingia kwenye familia kutoka fungu la serekali Ni kaz tosha istoshe mmoja alikuwa mmbunge wa Africa masharik mwingine Ni mjumbe wa. Kamat kuu cc ya ccm hyo Ni kazi toshaa
 
Watoto wa mwalimu Nyerere wanafanya kazi gani?
Kama sheria haijabadilika, kuanzia cheo cha waziri mkuu kwenda juu ukistaafu unalipwa mshahara 80% ya yule aliye madarakani. Bado kuna dereva, usafiri, matibabu na huduma nyinginezo. Hao watoto hata wasipofanya kazi wataishi vizuri kuliko sisi wakulima
 
watoto watatu wa kikwete hawana kazi Ali,Khalifa na mwana asha japo baba yao ni rais mstaafu angeweza kuwaweka hata benki kuu
Kuna level ya maisha kuajiriwa ni utumwa, wengi husimamia kazi za baba zao

Kati ya uliowataja mmoja alikuwa na miaka 8 wakati baba yake anaingia madarakani, alipotoka alikuwa na 18yrs plus billions of money katika bank account
 
Happy Ni wanasiasa hyo pesion tu ya mama yao na inayoingia kwenye familia kutoka fungu la serekali Ni kaz tosha istoshe mmoja alikuwa mmbunge wa Africa masharik mwingine Ni mjumbe wa. Kamat kuu cc ya ccm hyo Ni kazi toshaa
Wako wangapi
 
Nafikiri ilikuwa inamhusu baba yao, halafu mshahara wa Magu ni 9M, asilimia 80 yake ni ngapi? Hata ingekuwa 30M alizojiwekea Mkwere ndio zitawafanya waishi woote wale madingi na familia zao?
 
Samahani mkuu kwenu ni Ngara eti?
 
watoto watatu wa kikwete hawana kazi Ali,Khalifa na mwana asha japo baba yao ni rais mstaafu angeweza kuwaweka hata benki kuu
Kikwete kawaweka mpaka wakwe zake NSSF itakuwaje wanae?

Nafikiri watakuwa na business kubwa.
 
Yupo yule mwili mkubwa akili kisoda,walimpa kazi ya upishi bandarini ila amekataa anataka ukuu wa mkoa au uwaziri.
Mana anadegree 3 zote za ajabuajabu
 
Kuna level ya maisha kuajiriwa ni utumwa, wengi husimamia kazi za baba zao

Kati ya uliowataja mmoja alikuwa na miaka 8 wakati baba yake anaingia madarakani, alipotoka alikuwa na 18yrs plus billions of money katika bank account

Vasco Dagama katuibia sana sijui hizo fedha atazifanyia nini; hizo alizowekeza kwa Subash na hao GSM nadhani mwishowe hao wanawe watadhulumiwa!!! Zile alizoficha huko China sijui hata kama ana motto mwenye akili ya kuzimanage.Mungu akitupendelea tutakuja yaona huko mbele kwani wahindi wazuri ni wale waliokufa!!!
 
Reactions: T11
Yupo yule mwili mkubwa akili kisoda,walimpa kazi ya upishi bandarini ila amekataa anataka ukuu wa mkoa au uwaziri.
Mana anadegree 3 zote za ajabuajabu
a.k.a king of all social media jamaa ana miaka 65 bado anataka ahudhurie after school bush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…