Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

Unatakiwa ukubaliane na uhalisia kwamba mliachana.Usipende kugeukageuka nyuma utageuka mnara wa chumvi iliyoharibika.Ulisahau nini kwake?
Kupiga nilipiga lakini tulitofautiana kidogo tu(distance relationship). Kwani mambo hayawez kua fresh tukianza upya?
 
Wee turudiahe majeshi tuu mwanawane....kama kukamatika ndio tulishakamatika hatuna ujanja kwa hawa warembo wetu. Ah mie wacha kwanza nimtumie buku 20 hapa la lunch alafu nisindikize na sms za bby come back
Man kwako mambo safi😀
Labd nitume 50 nione km nikimkaribisha kwangu atakuja. Manake kuja tuu kazi
 
Tatizo unaweza kutoa mbinu za medani hapa kumbe uyo ex wako ndo mwanamke wangu. Nakuwa nimekurahisishia njia ya kunipora Tonge.
Yupo single mkuu. Hahaha mbona unanitisha....mwaga madini
 
Kawa mzuri sababu ya sperm zenye rotuba anazopewa na matunzo,, wwe shida ziko Hadi kwa sperm
 
Hatua za kumrudisha ex wako
Wape wauni pesa wa mteke
Alafu wewe unajifanya unaenda kumuokoa

Alafu kaa kimia tu majibu atakupa mwenyewe

Njia ya pili tafuta Germany sex drop
Mpe ishu rafiki yake amuwekee ndani ya maji au cha kula chochote
Majibu utayapata
 
Ngoja nikupe hii njia na huyo hit and run mzabzab 🤣🤣🤣🤣.
Unapoachana na mpenzi wako, ukianza kumsumbua mrudiane, kikawaida anapata bichwa na atakuringia tu. Mwingine hakutaki tena, vile unamsumbua ndiyo unazidi kuharibu.
Cha kufanya fata njia ya No contact rule... Hii ni hivi mkiachana usimtext, usimpigie, usimwangalie kwenye mtandao wowote wa kijamii. Kata mawasiliano naye, ya aina yoyote.

Sehemu anazopenda kwenda usiende, ili tu kuepusha kukutana naye. No contact rule huchukua siku 30 - 60. Fanya hivi halafu utaleta mrejesho...
 
This is the dumbest advise ever🤣🤣🤣🤣🤣
Sii ungeniambia tuu nitafute hela ningekuelewa🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…