Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Sehem inayowekwa hela ikiwa imetengenezwa kwa mbao Chuma ulete inafanya kazi.

Sehem inayohifadh hela ikiwa imetengenezwa kwa Chuma . Basi chuma ulete haiingii.
huku nilipo story ni kwamba hata wewe ukienda dukani ukipewa chenji ukichanganya na hela zingine zilizopo mfukoni mwako nazo zinabebwa na chuma ulete. --- kwenye hadithi hii ya huku nilipo chuma na mbao vyote havijahusika
 
Shetani never exit hajawahi kuwepo

Ni adui wa kubuni imagination enemy.

Ulimwengu unajiendesha fairly haumpendelei MTU ukiweka efforts yoyote Ile ipo siku itakulipa haijalishi wewe ni muovu au mwema

Shetani katengenezwa ili kubalance duality but hakuna shetani

Nilitegemea jibu hili.

Sasa ww kuja kuamini kwenye Uchawi ni ngumu sana.
Turud tu kwenye hoja ya Sayansi na Uchawi.

Mfano, mm nikitumia mitishamba na kukuwekea ww na ukadhurika. Je ni uchawi au Sayansi?.
 
Thibitisha hilo na utuambie unajuaje kitu fulani hakipo ?
Mungu hawezi tengeneza kitu ili kimsumbue .

Yaani hai make sense kuwa Mungu ndo ana hold power ya Kila kitu then amuumbe shetani ili awe mpinzani wake

MTU mjinga pekee ndo atakuwa anamkemea shetani adui wa kubuni
 
Thibitisha
kunasehemu 1 hv nimeshawah kuishi nimitaa flani ya uswahilini kunajambo lilianza kutokea ambalo sio lakawaida kunamuda flan ilikua kila usiku kuanzia xa 4 hv mkiwa ndani kunakishindo kilikua kinaskika juu ya bati yan kama vile kunam2 kapanda batini nakuanza kutembea sometimes kukimbia tena hko kishndo kikifika usawa wa bati la chumba changu unaweza kuona hadi migongo za bati zinabonyea siku 1 nikapanga nimshuhudie huyo anaetembeaga batini usiku nikaandaa ngazi ili kitakapoanza hko k2 kutembea niweze kufikia kuona kilichopo kwenye bati zikapita kama cku 2 ya3 kikaja bwana kikaanza kutembea nikatoka nje kuchek batini sikuona k2 chochote lakn jitu linasikika linatembea" kwahy uchaw upo ndug yang ila muombe 2 mung akupe umr huenda utakuja kuthbitsh
 
mkuu kuna zile documentary ambazo wanaonyesha wnaenda kutafuta mchawi ndani ya nyumba wanaongea nae kutumia vifaa vya frequency, au ni content tu
Ni fiction content tu kama vile sci-fictions movies za intergalactic travels, galaxies wars, time travel n.k
Pia ni imaginations za historia ya huko zamani kuanzia miaka ya 1800 kurudi nyuma ambapo Wazungu walikuwa wana Imani kubwa sana za uchawi/ushirikina na dini.
 
naunga mkono
 
ni kweli. Kila ambacho hakina ufafanuzi tunaweza kuita uchawi.

Kwahiyo Uchawi upo.

Kigoma kuna wale wanaitwa Kamchape. Wanapita na kutoa mavitu ndan. Na wanapiga ramli zao na wakisema nyumba hii ina vitu. Wakiingia wanakuta vitu kweli. Na watu wote wanaviona.
Uliiona hii?.

Kuna yule Bibi alianguka na Ungo Arusha. Kama mwez mmoja nyuma, alikuwa anatoka karagwe na mume wake. Sijui walikuwa wanaenda wap, Akaanguka pekeyake. Uliiona?.

Kuna wale fisi walikula mtoto, walimvua nguo mtoto , wakamla, nguo hazikukutwa hata na damu.
Uliona?
Kitu hakina ufafanuzi kwamba hata hao wachawi hawaelewi wanachokifnya ?

Duh mambo ya fisi , sijui waganga havielezeki?
 
Hauna uwezo wa kunidhuru kwa mitishamba labda uniwekee sumu ktk chakula.

Mutishamba iko inachanganywa changanywa ukiwekewa sehem na ukairuka unadhurika.

Kwahiyo hata zile dawa za ki-sunni ni uzushi tu 😂😂😂

Sijui hubat nuksi, mpenda penda ,rose water ni gelesha sio.

mm sina meng kwa leo bro. Lets agree to disagree.
 
kunasehemu 1 hv nimeshawah kuishi nimitaa flani ya uswahilini kunajambo lilianza kutokea ambalo sio lakawaida kunamuda flan ilikua kila usiku kuanzia xa 4 hv mkiwa ndani kunakishindo kilikua kinaskika juu ya bati yan kama vile kunam2 kapanda batini nakuanza kutembea sometimes kukimbia tena hko kishndo kikifika usawa wa bati la chumba changu unaweza kuona hadi migongo za bati zinabonyea siku 1 nikapanga nimshuhudie huyo anaetembeaga batini usiku nikaandaa ngazi ili kitakapoanza hko k2 kutembea niweze kufikia kuona kilichopo kwenye bati zikapita kama cku 2 ya3 kikaja bwana kikaanza kutembea nikatoka nje kuchek batini sikuona k2 chochote lakn jitu linasikika linatembea" kwahy uchaw upo ndug yang ila muombe 2 mung akupe umr huenda utakuja kuthbitsh
Pado unaleta porojo za kijinga jinga tu , eti nimwombe Mungu anipe umri 🚮
 
Hili huwezi hata mambo matano tu kuyaweka hapa huwezi.

Acheni ujuaji na kuongelea mambo ambayo hamna elimu nayo.

Usikute hapo hata maana ya uchawi huijui halafu unaukana.
Wewe mwenyewe na wenzako mnaoamini uchawi hamuwezi kuelezea uchawi ni nini kwa maelezo yanayofanana, kila mtu ana tafsiri yake na kila mtu ana mtizamo wake kuhusu uchawi inavyofanya kazi, ndio maana napinga kabisa walioibiwa nyeti kukamatwa na polisi.
 
Hili huwezi hata mambo matano tu kuyaweka hapa huwezi.

Acheni ujuaji na kuongelea mambo ambayo hamna elimu nayo.

Usikute hapo hata maana ya uchawi huijui halafu unaukana.
Acha porojo na panic thibitisha uchawi upo na sio ujinga wako tu
 
Kitu hakina ufafanuzi kwamba hata hao wachawi hawaelewi wanachokifnya ?

Duh mambo ya fisi , sijui waganga havielezeki?

Waganga hawajaamua kutuambia.
Wakishasema namna gan wanafanya inakuwa ni sayansi na sio uchawi tena.

Umeona kautofaut kadogo hako kalikopo.

Kupaa kwa Ungo ni story za kweli na sio hoax. Ila kwa kuwa hatujui wanafanyaje hadi kupaa tunasema ni uchawi.
Kumbe ni sayans ya kwetu kabisa ya jadi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom