min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sitaki kuamini nataka kujua kwa sababu na weza amini hata uongo tu, ndio maana yangu.Nimekuuliza unaamini katika spiritual world? ....
Hilo ndilo swali
Sitaki kuamini nataka kujua kwa sababu na weza amini hata uongo tu, ndio maana yangu.Nimekuuliza unaamini katika spiritual world? ....
Hilo ndilo swali
spiritual nayo kila mtu anamtazamo wakeNimekuuliza unaamini katika spiritual world? ....
Hilo ndilo swali
Hilo ndio la msingi kwamba hakuna uthibitisho wa kisayansi wa uchawi hadi sasa hivyo hata kungekuwa na madai ya wakoloni kupigwa kwa nguvu za uchawi bado ingebakikuwa ni sawa na story za kuibiwa nyeti, uthibitisho wa kisayansi pekee ndio utabili kitu na sio aina za madai tu bila huo uthibitisho maana wengine wao nao wanahoji mbona hakuna madai ya bank kuibiwa pesa kichawi kama uchawi upo mara wengine mbona kwenye vita hautumiki uchawi.nami nikaja kusema mwishoni kwamba
mimi niweke nukta tu kwenye hili mkuu, maana kama hatutapata udhibitisho tuendelee kuziita tu story maana kama uchawi wenyewe hauna usawa wa kupiga kazi
Hata kujua unaweza ukajua uongo pia au kujua kuna mahusiano ya moja kwa moja ukweli tu?Sitaki kuamini nataka kujua kwa sababu na weza amini hata uongo tu, ndio maana yangu.
Masikini ni wengi hivyo hakuna cha kushangaza katika hilo utawakuta wengi katika mambo mengi tu.Uchawi ni nadharia tu na masikini wengi ndo wanaamini ktk uchawi
Ukisikia watu watakuambia matajiri wa mikoani wanadanikiwa kwa uchawiHata kujua unaweza ukajua uongo pia au kujua kuna mahusiano ya moja kwa moja ukweli tu?
Uncivilized society ndo zimebaki kuamini uchawi .Masikini ni wengi hivyo hakuna cha kushangaza katika hilo utawakuta wengi katika mambo mengi tu.
Kujua = ukweli + ushahidi + uhakika , kama kitu ni uongo hakiwezi kuitwa kujua bali ni umeamini kimakosa tuHata kujua unaweza ukajua uongo pia au kujua kuna mahusiano ya moja kwa moja ukweli tu?
Mpanda, Sumbawanga hakuna single mothers??Kama mtu yeyote humu haamini uchawi basi atembelee mpanda,sumbawanga, achukue mke wa mtu au binti tu amdanganye anamuoa kisha asimuoe aone kitakachomtokea. Hii si kwa kusimuliwa ni kwa kuona kwa macho yangu. UCHAWI UPO.
Ndio maana napinga vikali police kuwakamata waliodai wameibiwa nyeti zao.Uchawi ni energy kama ulivyo umeme. Ili ufanye kazi unahitaji mazingira sahihi ikiwemo na conductor. Uchawi unampata anayeamini kuwa upo na unafanya kazi. Kwa mtu wa hivyo ni rahisi hata kumloga sababu ana element zinazo attract uchawi.
Ndio maana sio rahisi ku prove uchawi kama upo kwa sababu haufanyi kazi katika namna ambayo mtu anaweza kuona kwa macho.
hazina maana kivipi uhuru huelewi sehemu gani? mtu anayeamini chuma ulete anakwambia chuma ulete inapiga kazi ukiipata unapiga hela ,, ukimuuliza kama staili ile ile inayochota fedha dukani kwa mtu au biashara nyingine yeyote kama inaweza chota hela benki --- anaingia mitini.Hilo ndio la msingi kwamba hakuna uthibitisho wa kisayansi wa uchawi hadi sasa hivyo hata kungekuwa na madai ya wakoloni kupigwa kwa nguvu za uchawi bado ingebakikuwa ni sawa na story za kuibiwa nyeti, uthibitisho wa kisayansi pekee ndio utabili kitu na sio aina za madai tu bila huo uthibitisho maana wengine wao nao wanahoji mbona hakuna madai ya bank kuibiwa pesa kichawi kama uchawi upo mara wengine mbona kwenye vita hautumiki uchawi.
Kwahiyo mwisho wa siku zinakuwa hoja ambazo hazina maana.
Mpanda itakua hakuna single maza bwasheeMpanda, Sumbawanga hakuna single mothers??
Masikini ni wengi hivyo hakuna cha kushangaza katika hilo utawakuta wengi katika mambo mengi tu.
hazina maana kivipi uhuru huelewi sehemu gani? mtu anayeamini chuma ulete anakwambia chuma ulete inapiga kazi ukiipata unapiga hela ,, ukimuuliza kama staili ile ile inayochota fedha dukani kwa mtu au biashara nyingine yeyote kama inaweza chota hela benki --- anaingia mitini.
kwenye vita sisemi uchawi urushe risasi, kama huo uchawi unaweza fanya mtu aumwe awe ndondocha msukule nakadhalika ndo hizo mbinu zitumike kudhoofisha askari wa mpinzani i.e mkoloni --- hizi ni test za awali za uchawi mambo ya sayansi unayaleta kwa lazima tu hapa
Sifa za sayansiUchawi ni nini?.
Kuna uchawi na kuna Sayansi.
Nguvu inayofanya vitu na ambayo haielezeki ndio tunaita Uchawi.
Inayoelezeka tunaita Sayansi.
Ile ambayo hatuion tunaita nguvu ya giza. Tunayoiona inaitwa Sayansi 🤔🤔🤔.
Ile inayodhuru tunaita uchawi, ila inayotibu tunaita dawa au tiba.
mfano ile spidi ya roket iliyoenda mwezin , kama isingekuwa na maelezo au kuendeshwa na wazungu tungesema uchawi.
Ila kwasababu ya maelezo tunaita Sayansi.
Uchawi upo na ni sayansi ya Mwafrika . Ni vile hawajaieleza kwa vitabu inafanyaje kazi na ndio maana mnaita uchawi na sio Sayansi.
Nakuja na mifano.
Hakuna wazungu wanaoamini witchcraft (uchawi, ulozi au kulogana) karne hii, kama wapo ni sawa na Waislamu wachache wanaokula kitimoto.Kabisa mtafiti, ndio maana nawashangaa sana napoona wazungu ambao unakuta wana elimu kabisa na wanaishi katika jamii iliyoendelea yenye kuamini zaidi kwenye sayansi ila unakuta wazungu hao nao et wanaamini uchawi sijui hata wana shida gani?
Kwa utafiti wangu uchawi haupo ni akili tu , kwakuwa huo uchawi kama upo mbona upo katika jamii za watu wasio na ELIMU na uelewa na MAISHA
Shortly UJINGA +ukosefu wa Elimu = Uchawi
huenda jitihada zako za kutafuta majibu ya swali lako zilikua ndogo kama sivyo bac wakati unatafuta ulikua namajibu tayar mkononi uchawi upo tena huhitaji hata kwenda sumbawanga kuuthibitishaWazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.
Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).
Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?
Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.
Tafadhali toa hoja sio vitisho!