min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Bado unaendeleza porojo tu hauna uthibitisho wowote zaidi ya blabla tu🚮Mkuu mimi siaminishi watu uchawi ukizingatia sio mimi niliyeleta hapa huu uzi, sasa badala ya kumwambia aliyeleta uzi wewe unaniambia mimi mchangiaji tu hapa kama wewe.
Hii ndio JF mkuu, kama ambavyo baadhi ya wauamini wa Mungu wamekuja kujulia humu watu ambao wanapinga katakata uwepo wa Mungu, hivyo nawe pia usione kero unapokutana na watu wana mitazamo na experiences tofauti na wewe.
Kama ulikuwa unadhania uchawi kwenye jamii zetu hizi ndio hizo story tu za kuibiwa nyeti basi fanya tena utafiti wako mkuu. Mimi naeleza nayoyajua wala sio lengo langu kutaka wewe uamini uchawi.
Tutajua vip hadithi zako ni porojo tu kama haya ya nyeti