Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
Things are getting interesting...
Nimeeleza humu kuwa uchawi unahusika kwenye mambo mengi kama kesi,mapenzi,maradhi,kwenye maugomvi n.k Lakini sisi hapa hatuyajadili hayo kwa kina hapa tunazungumzia zaidi imani potofu kuliko uchawi wenyewe.
Unamwambia mtu akuroge ili ndio ukubali uchawi upo wakati unajua aina ya uthibitisho ambao mnautaka ni ule wa kisayansi tu kwa sababu tofauti na huo hamuwezi kuukubali.
Ngoja nisogee karibu,
Eheeee, so kwenye maugomvi ya USA-Israel na Iran nao wanaweza kutumia uchawi na problem ikawa solved.? 🤔
Kwamba uchawi unaweza kumponyesha au kumpa maradhi mtu? 🤔
Kwamba uchawi unaweza kusolve kesi (legal case)? 🤔
Kwamba uchawi unakusaidia kwenye mapenzi (sexual relationship)?
Kaaaazi kweli kweli... imani potofu hizi.
Eehee wewe huo uchawi umekusaidia nini?
Maana mie nikianza kuelezea vitu ambavyo sayansi imenisaidia tunaweza kuvi-count alfajir mpk jua linazama, na i can prove them all.
I repeat, mtu akishindwa kukielezea kitu, akishindwa kuking'amua, akishindwa kufanya reasoning, basi anatafuta excuse na kusema ni uchawi. Finding a scapegoat.