Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Loga jf izime
Uthibitisho utapatikanaje sasa hapo? Kwa sababu nyie wenyewe ndio mnasema hayo tunayodhania kuwa ni uchawi ni ujinga wa kushindwa kuelewa tu mambo, sasa hata mtu akiroga JF ikazima si utakuja na ufafanuzi wa kitaalamu wenye kuelezea huko kuzima kwa JF? Kwahiyo bado itakuwa haijasadia kitu kwenye huu ubishani?
 
Uchawi haupo ,miaka ya nyuma tulishuhudia kila Mtanzania akijua Ukimwi ni kulogwa unaelewa maana ya kila?
Huo ni uongo kwa sababu uchawi ni imani ambayo sio kila mtu anaamini, kuna watu wa dini kabisa na maandiko wanayajua ila hawaamini uwepo wa uchawi wala majini, sasa wewe huko kusema kila mtanzania alihusisha ukimwi na kurogwa ulifanya vp huo utafiti wako?
 
Uthibitisho utapatikanaje sasa hapo? Kwa sababu nyie wenyewe ndio mnasema hayo tunayodhania kuwa ni uchawi ni ujinga wa kushindwa kuelewa tu mambo, sasa hata mtu akiroga JF ikazima si utakuja na ufafanuzi wa kitaalamu wenye kuelezea huko kuzima kwa JF? Kwahiyo bado itakuwa haijasadia kitu kwenye huu ubishani?
kwamba unaweza kuiroga internet.? 🤔
Nawaza hapa, je ni uchawi na kuroga huku huku kama ambavyo huwa mnatusimulia ama?

Imagine kwa mindset yako alafu ndo paap wewe ni mtendaji kata, mkuu wa wilaya, Aisee, tutaishaaaa.

I guess, utakuwa pia unaamini katika chuma ulete.

Anyway, amini unachoamini baab, acha mie niamini katika science, finance, n.k.

Uzuri ni kwamba, as years pass by imani za hivo huwa zinapungua, historically hali ilikuwa mbaya zaidi miaka 60 iliyopita.

Miaka 80, 90 ijayo mbeleni huko wajukuu zetu watakuwa wanacheka sana wakipitia stori zetu za sisi kuamini eti kuna kuroga, sijui uchawi.

mindset ya majority ya sisi asians na africans.. Kitu ambacho tumeshindwa kukielezea, kuking'amua na kukishindwa, then ni hapooooo tunakimbilia tu kusema ni uchawi.
 
Nlikuaga mbishi kwenye hizo imani mpka yalipo nikuta huko usukumani
 
Uchawi na laaa asilimia kubwa ya watu wali amini hivyo , hata mahospitalini wengi walishauriwa wakaombewe tu au wapelekwe kwa waganga wa kienyeji , labda ulizaliwa miaka ya juzi wewe
 
Uthibitisho utapatikanaje sasa hapo? Kwa sababu nyie wenyewe ndio mnasema hayo tunayodhania kuwa ni uchawi ni ujinga wa kushindwa kuelewa tu mambo, sasa hata mtu akiroga JF ikazima si utakuja na ufafanuzi wa kitaalamu wenye kuelezea huko kuzima kwa JF? Kwahiyo bado itakuwa haijasadia kitu kwenye huu ubishani?
Uchawi hakuna ndio maana yake , labda wewe ni mchawi thibitisha hapa na sio maneno matupu , thibitisha tuchambue
 
Nlikuaga mbishi kwenye hizo imani mpka yalipo nikuta huko usukumani

Uzuri ni kwamba, as years pass by imani za hivo huwa zinapungua, historically hali ilikuwa mbaya zaidi miaka 60 iliyopita.

Miaka 80, 90 ijayo mbeleni huko wajukuu zetu watakuwa wanacheka sana wakipitia stori zetu za sisi kuamini eti kuna kuroga, sijui uchawi.

mindset ya majority ya sisi asians na africans.. Kitu ambacho tumeshindwa kukielezea, kuking'amua na kukishindwa, then ni hapooooo tunakimbilia tu kusema ni uchawi.
We good at finding a scapegoat
 
Miaka inavyozidi kwenda ndio watu wajinga wanaongezeka
 
Kama uchawi ungekuwepo na unafanya kazi the way kama mnavyouelezea, basi USA, Israel na Iran, zingekuwa bize kutumia huo uchawi kwenye hii vita yao ya 2026.

Pia, Russia na Ukraine, huko ingetumika sana kwenye migogoro yao tangia 2022 mpaka leo 2026.

Wasingepoteza mabilioni, trilioni kwenye ICT (AI), mechanical engineering, aeronautics, rocket science, ballistic missiles, military science, etc.

Mataifa ya ulimwengu wa kwanza yametuzidi hapa (reasoning & systematic study of nature) , sisi bado majority of us africans na Asians bado mitizamo yetu ni ya ancient times. That's generally why tupo dominated na wao.

Kama umekua tangu utoto ukiaminishwa hivyo unavyoamini kwamba uchawi upo, basi ni ngumu kwangu kukuaminisha tofauti. Amini unachoamini. Acha mie nibakie kwenye sayansi.

I repeat, most of Africans na Asians ndo tumebaki na hii mindset za ancient times. Chochote ambacho tunashindwa kukielezea au kukielewa, tunasimplify tu na kusema uchawi.

Nyie ndo dizaini ya hawa watu wanaoamini katika hili swala la "mtu kukugasa bega na kisha sehemu za siri za kiume zikapotea" just like hii issue ya kindezi kabisa inavyotrend Tanzania sasa hivi March-April 2026.
Watu mna hoja za kitoto sana, kwa sababu mnakataa uchawi kwa kusema watu wanaposhindwa kuelewa kitu ndio huita uchawi na yale yote yenye kuhusishwa na uchawi mnasema hakuna ushahidi.
Sasa mnapokuja na tena vioja vya kwamba kama uchawi ungekuwepo sijui ingekuwa hivi na vile mbona haipo hivi na vile sijui huwa mnawaza nini.

Hamueleweki hoja yenu ipo kwenye kutokuwepo kwa ushahidi wa uchawi au uchawi kutoweza kufanya hayo ambayo mnadhani uchawi ungetakiwa kufanya.

Wazungu wamesoma na kuelimika ila hadi sasa wana imani za kuongea na watu waliyokufa(mediumship) na kuna watu wanapiga pesa kwa kuwaonganisha watu kuweza kuongea na wapendwa wao, jeshi la Marekani liliwahi kuwa na program ya siri iliyodumu zaidi ya miaka 20 ikiitwa Project stargate ambayo ilikuhusu Remote viewing (Remote viewing is the psychic ability to acquire accurate information about a distant or non-local place, person, or event without using your physical senses or any other obvious means.)

Kwahiyo kama waafrika wanachanganya ujinga wao na uchawi ni wao na si kwamba et hao wenzetu waliyoendelea na kuelimika hawaamini hayo mambo.
 
Uchawi upo , nishawahi ambiwa sogea tulale na mtu haonekani kilichotokea hapo unakijua 😂
 
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.

Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).

Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?

Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.

Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Tuanzie hapa.

Wewe ni dini gani?
 
kwamba unaweza kuiroga internet.? 🤔
Nawaza hapa, je ni uchawi na kuroga huku huku kama ambavyo huwa mnatusimulia ama?

Imagine kwa mindset yako alafu ndo paap wewe ni mtendaji kata, mkuu wa wilaya, Aisee, tutaishaaaa.

I guess, utakuwa pia unaamini katika chuma ulete.

Anyway, amini unachoamini baab, acha mie niamini katika science, finance, n.k.

Uzuri ni kwamba, as years pass by imani za hivo huwa zinapungua, historically hali ilikuwa mbaya zaidi miaka 60 iliyopita.

Miaka 80, 90 ijayo mbeleni huko wajukuu zetu watakuwa wanacheka sana wakipitia stori zetu za sisi kuamini eti kuna kuroga, sijui uchawi.

mindset ya majority ya sisi asians na africans.. Kitu ambacho tumeshindwa kukielezea, kuking'amua na kukishindwa, then ni hapooooo tunakimbilia tu kusema ni uchawi.
Shida yako hata hauelewi huo uchawi watu wanahusika nao kwa mambo yapi ndio maana umebaki kukariri tu kwamba et uchawi ni kitu tulichoshindwa kukielewa.

Nyie ambao mnaamini sayansi kama mbadala wa dini huwa mna shida sana, matokeo yake ndio hayo kuifanya sayansi kama dubwashwa lenye kukwambia kipi ndio na kipi sio yani hivyo ndio mnavyoichukulia sayansi.
 
Uchawi upo , nishawahi ambiwa sogea tulale na mtu haonekani kilichotokea hapo unakijua 😂
Kuna uchawi na issue za viumbe wasioonekana, ila humu tunafanya kila kitu ni uchawi tu.
 
Shida yako hata hauelewi huo uchawi watu wanahusika nao kwa mambo yapi ndio maana umebaki kukariri tu kwamba et uchawi ni kitu tulichoshindwa kukielewa.

Nyie ambao mnaamini sayansi kama mbadala wa dini huwa mna shida sana, matokeo yake ndio hayo kuifanya sayansi kama dubwashwa lenye kukwambia kipi ndio na kipi sio yani hivyo ndio mnavyoichukulia sayansi.
Sayansi ni ujinga tupu, eti tumeona mwezi sehemu ambayo binadamu hawajawahi ona wamejuaje kama ni upande hatujawahi ona?
Eti binadamu wa kwanza ni sokwe hahahaha sasa mbona sokwe hawabadiliki kuwa watu ? Wazungu bana
 
Uchawi upo , nishawahi ambiwa sogea tulale na mtu haonekani kilichotokea hapo unakijua 😂
Kuna uchawi na issue za viumbe wasioonekana, ila humu tunafanya kila kitu ni uchawi tu
Uchawi hakuna ndio maana yake , labda wewe ni mchawi thibitisha hapa na sio maneno matupu , thibitisha tuchambue
Kiukweli mkuu hilo neno uthibitisho huwa mnaliongea kama kasuku tu ilimradi ndio kinga yenu basi, kudai uthibitisho kwa kitu usicho na ufahamu nacho sijui hata huo uthibitisho wa hicho utajuaje unafananaje?

Sema ndio hivyo tukielezea tunaonekana maneno matupu, haya mkuu ongeeni nyinyi ambao maneno yenu yana uthibitisho moja kwa moja.
 
Kuna uchawi na issue za viumbe wasioonekana, ila humu tunafanya kila kitu ni uchawi tu

Kiukweli mkuu hilo neno uthibitisho huwa mnaliongea kama kasuku tu ilimradi ndio kinga yenu basi, kudai uthibitisho kwa kitu usicho na ufahamu nacho sijui hata huo uthibitisho wa hicho utajuaje unafananaje?

Sema ndio hivyo tukielezea tunaonekana maneno matupu, haya mkuu ongeeni nyinyi ambao maneno yenu yana uthibitisho moja kwa moja.
Maneno mengi ya nini , unadai uchawi upo na sio ignorance ya watu , thibitisha hapa ili tuutofautisha na yale ya nyeti kuibiwa
 
Sayansi ni ujinga tupu, eti tumeona mwezi sehemu ambayo binadamu hawajawahi ona wamejuaje kama ni upande hatujawahi ona?
Eti binadamu wa kwanza ni sokwe hahahaha sasa mbona sokwe hawabadiliki kuwa watu ? Wazungu bana
Kuna watu wana ujinga sana hata hiyo sayansi yenyewe hawaielewi, yani jinsi anavyoeleza kuwa yeye anaamini sayansi utafikiri labda sie wengine tukiumwa hata huko hospitali hatuendi kisa tunaamini uchawi.

Kuna mambo kibao watu waliyafanya toka enzi hizo pasina kuwa na elimu ya sayansi ila baadaye baada sayansi kukuwa na kuweza kufanyia tafiti hayo mambo yakaonekana yana faida, kwahiyo mtu akijifanya anasubiri hadi sayansi ndio imwambie yeye asubirie tu ila maisha yanaendelea kama kawaida..
 
Maneno mengi ya nini , unadai uchawi upo na sio ignorance ya watu , thibitisha hapa ili tuutofautisha na yale ya nyeti kuibiwa
Hujaweza kuniambia nathibitishaje hapa, maana sio unaropoka tu kama kasuku, wewe niambie nawezaje kuthibitisha uchawi hapa.
 
Wewe ndio unaropoka upo, hivyo thibitisha kama upo ,maneno yako ya porojo ni kama hadithi za nyeti kupotea tu , nimekupa njia za kuthibitisha bado unaleta porojo tu
 
Back
Top Bottom