Hili huwezi hata mambo matano tu kuyaweka hapa huwezi.Hakuna cha u much know, uchawi ni blabla za kijinga tu , naweza kupa mifano 1000 ya mambo yaliyokuwa yana aminiwa ni uchawi ikaja bainika ni kitu kingine
Thibitisha hilo na utuambie unajuaje kitu fulani hakipo ?Shetani never exit hajawahi kuwepo
huku nilipo story ni kwamba hata wewe ukienda dukani ukipewa chenji ukichanganya na hela zingine zilizopo mfukoni mwako nazo zinabebwa na chuma ulete. --- kwenye hadithi hii ya huku nilipo chuma na mbao vyote havijahusikaSehem inayowekwa hela ikiwa imetengenezwa kwa mbao Chuma ulete inafanya kazi.
Sehem inayohifadh hela ikiwa imetengenezwa kwa Chuma . Basi chuma ulete haiingii.
Shetani never exit hajawahi kuwepo
Ni adui wa kubuni imagination enemy.
Ulimwengu unajiendesha fairly haumpendelei MTU ukiweka efforts yoyote Ile ipo siku itakulipa haijalishi wewe ni muovu au mwema
Shetani katengenezwa ili kubalance duality but hakuna shetani
Mungu hawezi tengeneza kitu ili kimsumbue .Thibitisha hilo na utuambie unajuaje kitu fulani hakipo ?
kunasehemu 1 hv nimeshawah kuishi nimitaa flani ya uswahilini kunajambo lilianza kutokea ambalo sio lakawaida kunamuda flan ilikua kila usiku kuanzia xa 4 hv mkiwa ndani kunakishindo kilikua kinaskika juu ya bati yan kama vile kunam2 kapanda batini nakuanza kutembea sometimes kukimbia tena hko kishndo kikifika usawa wa bati la chumba changu unaweza kuona hadi migongo za bati zinabonyea siku 1 nikapanga nimshuhudie huyo anaetembeaga batini usiku nikaandaa ngazi ili kitakapoanza hko k2 kutembea niweze kufikia kuona kilichopo kwenye bati zikapita kama cku 2 ya3 kikaja bwana kikaanza kutembea nikatoka nje kuchek batini sikuona k2 chochote lakn jitu linasikika linatembea" kwahy uchaw upo ndug yang ila muombe 2 mung akupe umr huenda utakuja kuthbitshThibitisha
Hauna uwezo wa kunidhuru kwa mitishamba labda uniwekee sumu ktk chakula.Nilitegemea jibu hili.
Sasa ww kuja kuamini kwenye Uchawi ni ngumu sana.
Turud tu kwenye hoja ya Sayansi na Uchawi.
Mfano, mm nikitumia mitishamba na kukuwekea ww na ukadhurika. Je ni uchawi au Sayansi?.
Ni fiction content tu kama vile sci-fictions movies za intergalactic travels, galaxies wars, time travel n.kmkuu kuna zile documentary ambazo wanaonyesha wnaenda kutafuta mchawi ndani ya nyumba wanaongea nae kutumia vifaa vya frequency, au ni content tu
naunga mkonoNi fiction content tu kama vile sci-fictions movies za intergalactic travels, galaxies wars, time travel n.k
Pia ni imaginations za historia ya huko zamani kuanzia miaka ya 1800 kurudi nyuma ambapo Wazungu walikuwa wana Imani kubwa sana za uchawi/ushirikina na dini.
Kitu hakina ufafanuzi kwamba hata hao wachawi hawaelewi wanachokifnya ?ni kweli. Kila ambacho hakina ufafanuzi tunaweza kuita uchawi.
Kwahiyo Uchawi upo.
Kigoma kuna wale wanaitwa Kamchape. Wanapita na kutoa mavitu ndan. Na wanapiga ramli zao na wakisema nyumba hii ina vitu. Wakiingia wanakuta vitu kweli. Na watu wote wanaviona.
Uliiona hii?.
Kuna yule Bibi alianguka na Ungo Arusha. Kama mwez mmoja nyuma, alikuwa anatoka karagwe na mume wake. Sijui walikuwa wanaenda wap, Akaanguka pekeyake. Uliiona?.
Kuna wale fisi walikula mtoto, walimvua nguo mtoto , wakamla, nguo hazikukutwa hata na damu.
Uliona?
Hauna uwezo wa kunidhuru kwa mitishamba labda uniwekee sumu ktk chakula.
Pado unaleta porojo za kijinga jinga tu , eti nimwombe Mungu anipe umri 🚮kunasehemu 1 hv nimeshawah kuishi nimitaa flani ya uswahilini kunajambo lilianza kutokea ambalo sio lakawaida kunamuda flan ilikua kila usiku kuanzia xa 4 hv mkiwa ndani kunakishindo kilikua kinaskika juu ya bati yan kama vile kunam2 kapanda batini nakuanza kutembea sometimes kukimbia tena hko kishndo kikifika usawa wa bati la chumba changu unaweza kuona hadi migongo za bati zinabonyea siku 1 nikapanga nimshuhudie huyo anaetembeaga batini usiku nikaandaa ngazi ili kitakapoanza hko k2 kutembea niweze kufikia kuona kilichopo kwenye bati zikapita kama cku 2 ya3 kikaja bwana kikaanza kutembea nikatoka nje kuchek batini sikuona k2 chochote lakn jitu linasikika linatembea" kwahy uchaw upo ndug yang ila muombe 2 mung akupe umr huenda utakuja kuthbitsh
Kashapanic
Wewe mwenyewe na wenzako mnaoamini uchawi hamuwezi kuelezea uchawi ni nini kwa maelezo yanayofanana, kila mtu ana tafsiri yake na kila mtu ana mtizamo wake kuhusu uchawi inavyofanya kazi, ndio maana napinga kabisa walioibiwa nyeti kukamatwa na polisi.Hili huwezi hata mambo matano tu kuyaweka hapa huwezi.
Acheni ujuaji na kuongelea mambo ambayo hamna elimu nayo.
Usikute hapo hata maana ya uchawi huijui halafu unaukana.
Acha porojo na panic thibitisha uchawi upo na sio ujinga wako tuHili huwezi hata mambo matano tu kuyaweka hapa huwezi.
Acheni ujuaji na kuongelea mambo ambayo hamna elimu nayo.
Usikute hapo hata maana ya uchawi huijui halafu unaukana.
anaingia mitini , ila ngoja tuoneKashapanic
Kitu hakina ufafanuzi kwamba hata hao wachawi hawaelewi wanachokifnya ?
Duh mambo ya fisi , sijui waganga havielezeki?
Labda kijijini kwao anavimba watu wanamuogopa ni mchawianaingia mitini , ila ngoja tuone
Unaitambua vipi imani fulani ni potofu ?Bro unatoa hoja ambayo logically watu wa hizi Imani ukiwaita hapa hawawezi kujibu.
Huu ni uthibitisho Imani nyingi ni potofu na hazina ukweli zinategemea mass panic na ujinga kujua.