Kuhusu mambo ambayo yalikuwa yakisemwa ya kichawi lakini yakagundulika sio uchawi.Nikumbushe nilisema na mifano kuhusu nini
.uchawi unathibishwa weka hapa huo uthibitisho wako
Kuhusu mambo ambayo yalikuwa yakisemwa ya kichawi lakini yakagundulika sio uchawi.Nikumbushe nilisema na mifano kuhusu nini
.uchawi unathibishwa weka hapa huo uthibitisho wako
Hapo chachaNi stori stori tu za masimulizi ambazo zimeshajenga hofu na utamaduni kwenye jamii, kila unayemuuliza anasema alisikia Tu, sasa aliyeona na kushuhudia ni nani
Sasa unae kanusha ndio unaye jua zaidi ya kuwa Shetani yupo. Usikimbie.Thibitisha kwanza wewe unayesema shetani yupo .
Mimi nasema hayupo kwakuwa haonekani.
Umeme na radiKuhusu mambo ambayo yalikuwa yakisemwa ya kichawi lakini yakagundulika sio uchawi.
Marekani kuna Wiccans, hawana ukosefu wa elimu wale wala hawapo katika jamii yenye ujinga ila wanaamini uchawi.Kwa utafiti wangu uchawi haupo ni akili tu , kwakuwa huo uchawi kama upo mbona upo katika jamii za watu wasio na ELIMU na uelewa na MAISHA
Shortly UJINGA +ukosefu wa Elimu = Uchawi
Bila ushahidi wa kisayansi si inabaki tu kuwa kama story za kuibiwa nyeti.Chuma ulete kuna namna yake ili ifanye kazi. Kuna sehem inadunda.
chuma ulete haifanyi kaz /haipenyi kwenye kitu cha Chuma.
Kuna hadithi kuwa Mababu zetu walikuwa wanatumia Nyuki kufukuza wazungu.
Kuna sehem ngome zao zilikuwa ni ngumu kuingia kwasababu ya mazindiko.
Ila wazungu wajanja wakawalaghai Waafrika wachache ndio wakawaingiza taratibu kwenye jamii husika.
Wakina nani walidai ya kuwa haya ni uchawi ? Hivi unajua maana ya Uchawi ?Umeme na radi
Kipindupindu
Kupatwa kwa jua na mwezi
UKIMWI
Epilepsy (degedege)
Wewe unadai uchawi upo ndio nakutaka uthibitishe hapa ili tuweze kukutofautisha na hawa , sijui kama unanielewaWakina nani walidai ya kuwa haya ni uchawi ? Hivi unajua maana ya Uchawi ?
Huenda hata hao walio dai ni uchawi hawajui uchawi ni nini ?
Sisi ambao tuna amini Uchawi upo, hayo hatujawahi kusema ni uchawi.
Umeme na Radi walisema vipi kuwa ni uchawi ? Tuanze kujadili hili, kisha yatafata hayo mengine.
Wicca na Shamanism za sasa huko Marekani ni dini kama zilivyo dini nyingine, pia ni vyema ukafahamu Marekani ni taifa la Magharibi lenye watu wengi sana wajinga, religious fanatics wa kila aina na wapinga Sayansi. Marekani ndilo Taifa linaongoza kwa flat earthers, anti-vaxxers na anarchists.Marekani kuna wachawi wale(wiccans) huwezi kuwafananisha na huku kwa sababu wale hawaamini uchawi kwa sababu ya kukosa elimu wapo katika jamii iliyoendelea.
Sijajua wewe unazungumza kwa kuwa ni mfuatiliaji au unatumia tu hisia, maana hao wazungu wanaamini hadi kuongea na wafu(Mediumship), sasa sijui wewe unazungumzia wazungzu wa wapi?Hakuna wazungu wanaoamini witchcraft (uchawi, ulozi au kulogana) karne hii, kama wapo ni sawa na Waislamu wachache wanaokula kitimoto.
Wazungu kiasi wamebaki na imani superstitious za bahati mbaya na nzuri pamoja na nyota(astrology).
Kwani Tanzania hakuna watu wanaoamini kuongea na wafu??Sijajua wewe unazungumza kwa kuwa ni mfuatiliaji au unatumia tu hisia, maana hao wazungu wanaamini hadi kuongea na wafu(Mediumship), sasa sijui wewe unazungumzia wazungzu wa wapi?
Wazungu wanaamini vingi sana kuliko hata sisi.
Enzi hizo hakukuwa na hizi mashine wazungu walikuwa wanatumia Dowsing kutafuta maji ardhini ili wachimbe visima, siku hizi dowsing wanatumia kwa mambo mengine mengi sana ila hawa wanasayansi wetu humu na watafiti hawajui hayo mambo.Uchawi upo kwa Waarabu, wahindi na wengine ni matajiri.
Mfano mzuri . Kuna wale watoto wa Kihind wanaitwa Mahela.
Ushawah kuwaona?.
Kuna wale waarabu wanatafuta mafuta kwa kutumia kijiti.
Au kutafuta miamba ya maji kwa kutumia kijiti na wakajua maji yako sehem gan na umbali gan kwa kwenda chini.
Ushawah kuwaona?.
Mm nimewah na kushuhudia hayo yote.
Sasa hii tutaita uchawi au sayansi?.
Wanafunzi wenzenu wahuni ndio walimnyoa na hao ndio walimbeba akiwa usingizini wakamuweka nje, Kuna watu wakilala ni kama wamekufa.Kuna jamaa yangu ni mjeda sasa hivi kipindi tupo f6 kuna siku tuliamka bwenini tukakuta amenyolewa na mkasi kichwa kizima tena vibaya vibaya hatari.
Ikapita tena muda asubuhi tukaja tena kumkuta amelala njee kwenye uwanja wa mpira tena kanyolewa na mkasi.
Huo nao sijui tuuite uchawi ama nini
Vaa viatu vya huyo jamaa wewe hapo unaweza kunyolewa usiku kichwa kizima bila kushituka au kuhisi chochote ila siamini kama kuna mtu wa aina hiyo atakuwa na ubongo wa bata.Wanafunzi wenzenu wahuni ndio walimnyoa na hao ndio walimbeba akiwa usingizini wakamuweka nje, Kuna watu wakilala ni kama wamekufa.
Hili litafata, lazima kwanza tufikie muafaka. Sababu wewe umejenga hoja katika mambo ambayo kiuhalisia kwa dhati yake si uchawi, ikakupelekea wewe ukahitimisha ya kuwa Uchawi haupo.Wewe unadai uchawi upo ndio nakutaka uthibitishe hapa ili tuweze kukutofautisha na hawa , sijui kama unanielewa
Nenda moja kwa moja kwenye point thibitisha uchawi hapaHili litafata, lazima kwanza tufikie muafaka. Sababu wewe umejenga hoja katika mambo ambayo kiuhalisia kwa dhati yake si uchawi, ikakupelekea wewe ukahitimisha ya kuwa Uchawi haupo.
Hii inaonyesha ya kuwa wewe Uchawi huujui, na vipi ukapata ujasiri wa kudai Uchawi haupo kwa kuegemea mambo ambayo si Uchawi.
Sasa ili nikujibu swali lako, lazima ukiri wazi ya kuwa Uchawi huujui, kisha ufundishwe.
Upo fasta sana kukimbilia hilo neno thibitisha, sema mtafiti unatakiwa uwe unamalizia kusema kuwa anatakiwa kuthibitisha kisayansi nje na hapo ni mambo tu tusiyoyaelewa.Thibitisha
Inawezekana kabisa bila hata kuwa katika usingizi wa ulevi wa pombe au bangi. Kuna watu wanaweza kuwa usingizini wakaanza kutembea kuingia jikoni akapika na kula akiwa bado usingizini( sleepwalking).Vaa viatu vya huyo jamaa wewe hapo unaweza kunyolewa usiku kichwa kizima bila kushituka au kuhisi chochote ila siamini kama kuna mtu wa aina hiyo atakuwa na ubongo wa bata.
Lazima tukubaliane kwanza, hapa hatujadili udaku au ushubwada, hapa tunajadili elimu. Wewe kama unachukulia jambo hili ni dogo ni wewe. Elimu ni amana, na amana hurudishwa kwa watu.Nenda moja kwa moja kwenye point thibitisha uchawi hapa