Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

ni kweli. Kila ambacho hakina ufafanuzi tunaweza kuita uchawi.

Kwahiyo Uchawi upo.

Kigoma kuna wale wanaitwa Kamchape. Wanapita na kutoa mavitu ndan. Na wanapiga ramli zao na wakisema nyumba hii ina vitu. Wakiingia wanakuta vitu kweli. Na watu wote wanaviona.
Uliiona hii?.

Kuna yule Bibi alianguka na Ungo Arusha. Kama mwez mmoja nyuma, alikuwa anatoka karagwe na mume wake. Sijui walikuwa wanaenda wap, Akaanguka pekeyake. Uliiona?.

Kuna wale fisi walikula mtoto, walimvua nguo mtoto , wakamla, nguo hazikukutwa hata na damu.
Uliona?
Vyengine ni issue za viumbe wasioonekana pia sio kila kitu ni uchawi tu.
 
Lazima tukubaliane kwanza, hapa hatujadili udaku au ushubwada, hapa tunajadili elimu. Wewe kama unachukulia jambo hili ni dogo ni wewe. Elimu ni amana, na amana hurudishwa kwa watu.

Lazima muwe na adabu na mambo msiyo yajua. Hatulei wajinga sisi. Ulitakiwa wewe kwanza uende kwenye nukta ya mzozo awali kabisa kwa kutaka ujue Uchawi ni nini ?
Hizi porojo zako za kijinga , sina mda wa kurudia kuzijibu , thibitisha uchawi upo, hauwezi sijakulazimisha
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Upo fasta sana kukimbilia hilo neno thibitisha, sema mtafiti unatakiwa uwe unamalizia kusema kuwa anatakiwa kuthibitisha kisayansi nje na hapo ni mambo tu tusiyoyaelewa.
Uthibitisho sio lazima uwe kisayansi, hata kwa philosophy unaweza thibitisha.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
mkuu kuna zile documentary ambazo wanaonyesha wnaenda kutafuta mchawi ndani ya nyumba wanaongea nae kutumia vifaa vya frequency, au ni content tu
Sasa mkuu hata tofauti ya mchawi na ghost haujui ila upo hapa kupinga haya mambo, unadhani sisi tunapata ugumu kiasi gani kujadiliana nanyi? Halafu hamtaki tutoe maelezo mnataka tuthibitishe moja kwa moja hayo msiyoyaelewa ila mnayapinga.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Upo fasta sana kukimbilia hilo neno thibitisha, sema mtafiti unatakiwa uwe unamalizia kusema kuwa anatakiwa kuthibitisha kisayansi nje na hapo ni mambo tu tusiyoyaelewa.
Wewe unayajua unashindwa vipi kufanya hivyo?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.

Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).

Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?


Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.

Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Binafsi nimemuona kwa macho ndani ya chumba Cha kulala pia nimewahi shika kiganja Cha mkono wake tatu nimewahi kuonana macho kwa macho na macho gizani chumbani.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wewe mbona hujathibitisha ya kuwa Uchawi haupo kweli zaidi ya kuleta stori tu ?

Kwako wewe uthibitisho ili uwe uthibitisho inabidi uweje ?
Yeye kaishia kafanya uchunguzi sijui kazunguka kote ila hajaeleza chochote cha maana kwenye huko kuzunguka kwake kote.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mkuu nje ya uthibitisho wa kisayansi kuna uwezekano wa kuthibitisha uchawi? Hakuna namna utaweza kuthibitisha uchawi watu wakakubali bila tatizo nje ya uthibitisho wa kisayansi. Mkuu wewe unataka kufanya ionekane kwamba hadi leo uchawi ni masimulizi tu hakuna ushahidi wa aina yeyote wa nguvu ya uchawi na kwamba sisi wengine wote tunaoamini uchawi ni kwamba tunaamini masimulizi tu, ndio maana mimi nakueleza kwamba shida ni huo uthibitisho wa kisayansi maana hata wewe hapo haujasema ufanyie uchunguzi hayo madai ya chuma ulete kama ni kweli ila unaenda kuulizia kuhusu bank au sijui wazee kutumia uchawi dhidi ya wakoloni.

Kwahiyo kinachotakiwa ni uthibitisho wa kisayansi tofauti na hivyo inaweza mkasema ni tricks tu, au mambo tusiyoyaelewa.
Uthibitisho sio kisayansi tu, hata kwa philosophy unaweza thibitisha kama huo uchawi upo kweli.
 
Mwamposa anayetoa upako Huwa akiwa na mkutano wake

Anasambaza vipeperushi dar nzima , anatangaza ktk radio na Tv na mitandaoni

Maana yake anatumia marketing strategies kupata watu

Ila akijaza watu Tanganyika packers atasema ana upako

Kitu ambacho sio kweli

Mwambie afanye mkutano bila matangazo yoyote aone kama atajaza

Ila waumini wake atawaambia mambo yanawezekana kirahisi rahisi wapake MAFUTA n.k

Is kidding
anawabebesha watu udongo kwenda kawe na baadae wanaurudisha shamba,

kuna mkutano alisema watu waende na passport zikaombewe ili waweze enda nje ya nchi
 
Ni fiction content tu kama vile sci-fictions movies za intergalactic travels, galaxies wars, time travel n.k
Pia ni imaginations za historia ya huko zamani kuanzia miaka ya 1800 kurudi nyuma ambapo Wazungu walikuwa wana Imani kubwa sana za uchawi/ushirikina na dini.
Usipende kuongea kwa hisia mkuu fuatilia, hizo imani za ghost zipo hadi sasa huko kwa wazungu na wapo watu ndio kazi zao.z
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Hizi porojo zako za kijinga , sina mda wa kurudia kuzijibu , thibitisha uchawi upo, hauwezi sijakulazimisha
Ingekuwa porojo hapo sawa. Lazima uwe na adabu na ushike adabu.

Umekosa sifa za kujadili huu mjadala, sababu hujui unachokipinga.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Wewe mwenyewe na wenzako mnaoamini uchawi hamuwezi kuelezea uchawi ni nini kwa maelezo yanayofanana, kila mtu ana tafsiri yake na kila mtu ana mtizamo wake kuhusu uchawi inavyofanya kazi, ndio maana napinga kabisa walioibiwa nyeti kukamatwa na polisi.
Wanapingana wanasayansi kuhusu ukimwi.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hiv jf yote hii hakuna mchawi ajitokeze afanye demo moja ubishi uishe?
Ubishi hauwezi kuisha kwa sababu ya kuhitajika ushahidi wa kisayansi na kinyume na hivyo ni tricks tu au mambo tusiyoyajua tu ila sio uchawi, kwahiyo mnaopinga uchawi mtabaki kuwa washindi milele.
 
Ingekuwa porojo hapo sawa. Lazima uwe na adabu na ushike adabu.

Umekosa sifa za kujadili huu mjadala, sababu hujui unachokipinga.

Kazi yangu nimemaliza.
Thibitisha uchawi hauwezi tulia , mambo ya kukubaliana na wewe tafuta watoto wa chekechezea ukawaeleze
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mkuu nje ya uthibitisho wa kisayansi kuna uwezekano wa kuthibitisha uchawi? Hakuna namna utaweza kuthibitisha uchawi watu wakakubali bila tatizo nje ya uthibitisho wa kisayansi. Mkuu wewe unataka kufanya ionekane kwamba hadi leo uchawi ni masimulizi tu hakuna ushahidi wa aina yeyote wa nguvu ya uchawi na kwamba sisi wengine wote tunaoamini uchawi ni kwamba tunaamini masimulizi tu, ndio maana mimi nakueleza kwamba shida ni huo uthibitisho wa kisayansi maana hata wewe hapo haujasema ufanyie uchunguzi hayo madai ya chuma ulete kama ni kweli ila unaenda kuulizia kuhusu bank au sijui wazee kutumia uchawi dhidi ya wakoloni.

Kwahiyo kinachotakiwa ni uthibitisho wa kisayansi tofauti na hivyo inaweza mkasema ni tricks tu, au mambo tusiyoyaelewa.
nachokukubaliana na wewe mkuu ni matumizi mazuri ya neno "imani" na "kuamini"
kimsingi ukishaamini nguvu za mwanga, kuamini nguvu za giza ni direct proportional hata kama bado hujaziona hizo za giza

kupima si sayansi peke yake mfano chuma ulete mimi nikae dukani peke yangu tu siku nzima, hata kopo la kukojolea nikae nalo humo ndani tuhesabu stock iliyopo, cash at hand na kila kinachouzwa kinarekodiwa na pesa kuhakikiwa --- alafu wewe njoo na timu ya chuma elete jioni/usiku tutapata majibu chuma ulete ni kweli au story tu.
 
Ubishi hauwezi kuisha kwa sababu ya kuhitajika ushahidi wa kisayansi na kinyume na hivyo ni tricks tu au mambo tusiyoyajua tu ila sio uchawi, kwahiyo mnaopinga uchawi mtabaki kuwa washindi milele.
Ili isiwe, ajitokeze mchawi afanye demo moja , uchawi kama upo sifikiri atakosekana humu , na kama upo wanaoufanya wanashindwa vipi kuthibitisha hapa
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kuna jamaa yangu ni mjeda sasa hivi kipindi tupo f6 kuna siku tuliamka bwenini tukakuta amenyolewa na mkasi kichwa kizima tena vibaya vibaya hatari.
Ikapita tena muda asubuhi tukaja tena kumkuta amelala njee kwenye uwanja wa mpira tena kanyolewa na mkasi.
Huo nao sijui tuuite uchawi ama nini
bwenini huko huko kuna wadau walikua wanawanyoa wenzao alafu watu wakiwa wanawacheka asubuhi walionyolewa kwamba wachawi ndo wamefanya hivyo hadi wanyoaji nao wanaunga kwenye tela la kucheka
 
Back
Top Bottom