Your arguments are out of touch with reality🚮
I find it absurd for anyone to exonerate Whites from witchcraft practices, and that's why I supplied proof to show that they have even gone as for as offering collage degrees in the craft
Chuo kama Exeter (University of Exeter) hiyo digrii unayoisemea wewe ni umeinukuu tu title then mbio mbio ukaja hapa, tulia chalii.
Kwa spidi hii, unaweza jikuta umeandika hata Title ya Manchester United ile ya "Red devils" na ukaja kupost link hapa kama uthibitisho.
Digrii wanayotoa hao Exeter University ukiicheki content wise utaona ni ya "history na jinsi impact ya imani potofu za watu kuamini uchawi & ushirikina zilivyokuwa na athari zake zilikuwaje kwenye jamii".
Like I said, europe miaka ya 1400-1700s kulikuwa na wengi wanaamini, baadae watu wakasanuka ni upuuzi ila negative impact ilikuwa severe.
Ukitulia vizuri utaliona hilo somo ni kama tu sisi huku tunavyosoma history ya ukoloni na impacts zake.
Hata kwetu TZ tunaweza anzisha hilo somo, tena itakuwa vizuri zaidi, naunga mkono hoja ili lisaidie kizazi kijacho kisiwe kinaamini upuuzi.
So, Your arguments are out of touch with reality 🚮
Wenyewe wapo bize na finance, science & tech (ballistic missiles, AI, medicine, engineering, n.k) then sisi tupo bize kuaminisha kizazi kijacho imani za kipuuzi ambazo guys like you mpo bize kuzi-glorify hapa,
sijui ndo ili upate wa kuwapiga pesa ama nn.
Mkiambiwa thibitisha beyond reasonable doubt mnakimbia, ila mnataka tuamini tu tales, folkalore na hearsay.