antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Wazungu wamepiga hatua zaidi kwenye hiyo nyanja maana wao kwa sasa hutoa shahada za Bachelor na Masters za huo "Utaalamu"..kwa africans na asians, wengi wetu ndo utakuta bado tunaoamini katika hii inayoitwa uchawi.
Wazungu wamepiga hatua zaidi kwenye hiyo nyanja maana wao kwa sasa hutoa shahada za Bachelor na Masters za huo "Utaalamu"..
Degree in magic to be offered at University of Exeter
The MA in Magic and Occult Science at University of Exeter is said to be one of the first in the UK.share.google
How about witchcraft and wizardry??
"Magic ni tricks"
Jifunze neno tricks kwanza.
Halafu kuna tofauti ya magic na witchcraft.
Magic ni kitu you can learn na unaweza mfundisha mtu yoyote.
To pull a rabbit from a hat, sijui kucheza na karata ikapotea ikatokea mkono mwingine, kuendesha unicycle, n.k ni tricks hizo.
Ukitaka omba uelekezwe.
Na inapotekea kila mtu anapoenda sehemu tofauti ramli inarudia kitu kile kile kuwa ndio shida yake huwa ni mbinu gani waganga wanatumia?waganga ramli ni matapeli.
Kitendo tu cha wewe kwenda kwa mganga ramli maana yake ni kwamba tayari unaamini, na mara nyingi majibu yako utakuwa umeshajipa mwenyewe, hivyo mganga ramli anachofanya ni kukusapoti na kukwambia tu kile ambacho tayr akili yako inataka kukisikia (kwamba umerogwa).
Yeye anapigilia tu mstari, jibu huwa tayari umeenda nalo mwenyewe.
Obviously atakwambia umerogwa na mtu ambaye sio wa mbali, atatumia lugha za picha (figure of speech) na kusema ni mtu wa karibu.
So ww utajikuta unawaza jamaa zako na utaanza kumhisi mmoja.
Matapeli ni watu smart mno, waganga ramli ni matapeli.
Sasa umeshakuja una shida kwenye CNS, na huwa unaanguka anguka na ku lose your ability to handle voluntary activities... Sasa je hapo unadhani utaambiwa nini zaidi ya mapepo?Na inapotekea kila mtu anapoenda sehemu tofauti ramli inarudia kitu kile kile kuwa ndio shida yake huwa ni mbinu gani waganga wanatumia?
Maana kama ramli ya kwanza ilisema shida una mapepo basi ramli zote zitasema hivyo hivyo na sio kusema kurogwa na mtu?
Sasa wewe utakuwa unafanya kama imani ya uchawi imeibuka juzijuzi tu na mabishano kuhusu uchawi ni mambo ya juzi kati tu, mimi nakueleza kwanini hadi leo uchawi unaonekana si kitu cha kweli na jibu ni kukosa maelezo maelezo ya kisayansi.mkuu wewe mjanja mjanaja sana wa maneno, test ile niloandika mwanzo ya chuma ulete umeona haina maana,
eleza hapa uchawi ni nini , na unapiga kazi katika criteria gani, mambo ya kuthibitisha kisayansi waachie wanayohitaji hayo , wewe eleza hizo point mbili kwanza
Hapana mkuu, shida ya mapepo sio lazima uwe unaanguka hata yale maigizo ya kutolewa mapepo sio kwamba wale watu wana ugonjwa wa kuanguka.Sasa umeshakuja una shida kwenye CNS, na huwa unaanguka anguka na ku lose your ability to handle voluntary activities... Sasa je hapo unadhani utaambiwa nini zaidi ya mapepo?
waganga ramli ni watu smart mno, matapeli.
sawa mkuuSasa wewe utakuwa unafanya kama imani ya uchawi imeibuka juzijuzi tu na mabishano kuhusu uchawi ni mambo ya juzi kati tu, mimi nakueleza kwanini hadi leo uchawi unaonekana si kitu cha kweli na jibu ni kukosa maelezo maelezo ya kisayansi.
Kinyume na hivyo tutaendelea kuonekana tunapiga porojo tu hapa maana hakuna kipya.
Unaanza kuleta fictional story na hearsay za Harry Potter sasa.How about witchcraft and wizardry??
😂😂😂😂 Kuna vitu mkuu usifanyie utafiti utashindwa kueleza watu jinsi unavyofanya kazi ila amino hili uchawi upoWazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.
Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).
Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?
Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.
Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Wengi wanaosemwa ni wachawi 90% sio na pengine hawaujui kabisaKuna watu wametengwa kwenye jamii, na ndugu jamaa na marafiki kwa sababu hizo hizo za madai ya uchawi , Binafsi kabisa yalikwishawahi nikuta nikaitwa mshirikina , nimetoa msukule baada ya katoto kangu kadogo kufariki na pneumonia, na maujinga ujinga mengi ya kipumbavu tu.
thibitisha😂😂😂😂 Kuna vitu mkuu usifanyie utafiti utashindwa kueleza watu jinsi unavyofanya kazi ila amino hili uchawi upo
Why me shemela?Ndugu zako hatutak ulogeke sana. Inabidi ajitokeze mwanamke mmoja wa JF akuloge. Uwe zuzu kabisa kwake. Tunakuacha miaka 2 ndio tunakuja kukuagua. 😂😂😂
sijui kaz hii nan ataiweza?.
Najua Seran atakuhurumia hurumia. Inabid tutafute mtu wa kazi
Kwa hiyo USA anatumia uchawi kuitawala dunia? 🤔Your arguments are out of touch with reality🚮
I find it absurd for anyone to exonerate Whites from witchcraft practices, and that's why I supplied proof to show that they have even gone as for as offering collage degrees in the craft
Mkuu uchawi haiwezekani kuthibitisha Kwa sayansi ya kawaida au Kwa hali ya kawaida hiyo ndio changamoto kubwathibitisha
Usinilishe maneno ya uongo!wapo wachache wenye mentality km yako ya kuamini ushirikina na uchawi kama njia yako.
Chuo kama Exeter (University of Exeter) hiyo digrii unayoisemea wewe ni umeinukuu tu title then mbio mbio ukaja hapa, tulia chalii.Your arguments are out of touch with reality🚮
I find it absurd for anyone to exonerate Whites from witchcraft practices, and that's why I supplied proof to show that they have even gone as for as offering collage degrees in the craft