Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #61
Nini hiyo ikinikuta, bro let's be honest umeandika haya na hii ni sign tunaongea na mtu ana IQ ya siafu.Pole sana mtoa post
Siku yakikukuta utarudi kivingne
Ushauri: tambua kuwa YESU YU HAI, NA WEWE UWE HAI
tumia muda mwingi kutafiti na kuijua kweli na nguvu za nuru ili ujue huduma au wito uliopo ndani yako..
Hii Ina utofauti gani na kichukuliwa nyeti, hivi unaweza kuchukua kitu cha mtu implanted. Most of our reasoning and ability to solve problems are results of fundamentals we get and experience+ pattern Kuna mtu anaweza kuchukua maarifa yako na kuyatumia. Acha kuwaza ujinga, njoo na hoja yenye mashiko.Uchawi upo.
Hauoni athari zake kwakuwa hakuna kinachowavutia kwako.
Au
Walishachukua vinavyowahusu kwako bila bughudha hivyo wanajilia au kuvitumia kwa raha zao.
Pia unatumia mbinu na njia tofauti na inavyopaswa ili uwajue, hivyo unajikuta unaishia kusema hawapo kitu ambacho wao wanapenda watu wengi wahisi hivyo kwamba hawapo, ili shughuli zao zisiwe zinakwamishwa.
Swali dogo la kujiuliza ,Tanzania miaka hiyo walikua wanadai ukimwi ni ugonjwa wa kulogwa , na kila mtu akianza kuumwa alienda kwa mganga , na waganga walikua wanatoa sababu za kichawi na kilozi.I think such people think in a spectrum of believes and they have too low non boosted IQ which results to ignorance and disagreeing on other side/opposite side.
Ujinga ndio chanzo cha haya masuala.
Dah mzee jamii zenye watu wasiokubali kuelimika na kukubali kitu ni ngumu mno kuendelea.Issues za kichawi hakuna kitu , vitisho vya jinga jinga tu ,uzuri mmoja natembelea vijiji mbalimbali na huwa napinga na kwaelimisha , wanapiga mikwara mende yao hakuna kitu ni maujinga tu
Exactly..ni kama zamani huko ukianguka ghafla ukafa tutasema umelogwa kwanini ufe bila kutumia ila nowadays unakufa na unapimwa na inajulikana ni heart attackHakuna uchawi ni stories za kijinga tu , na hilo la kupotea kwa nyeti limebumburuka kwa sababu fahamu za watu wengi kwa sasa zimeamka sana, hebu fikiri akipindi cha nyuma hakuna elimu kubwa kwa watu ni jinsi gani walivyokuwa wanajidanganya🤔
We mwenye IQ ya tembo unauliza usenge hapa..Nini hiyo ikinikuta, bro let's be honest umeandika haya na hii ni sign tunaongea na mtu ana IQ ya siafu.
Njoo na hoja achan na Imani hata wenye Imani yanawakuta mno ndio huwa wanayaita majaribu
Sawa tufanye hivi unayoyajua wewe yote yapo sahihi na wanayoyajua wengine ambayo ni tofauti na uyajuayo ni wajinga na hawana mashiko.Hii Ina utofauti gani na kichukuliwa nyeti, hivi unaweza kuchukua kitu cha mtu implanted. Most of our reasoning and ability to solve problems are results of fundamentals we get and experience+ pattern Kuna mtu anaweza kuchukua maarifa yako na kuyatumia. Acha kuwaza ujinga, njoo na hoja yenye mashiko.
Bro unatoa hoja ambayo logically watu wa hizi Imani ukiwaita hapa hawawezi kujibu.Swali dogo la kujiuliza ,Tanzania miaka hiyo walikua wanadai ukimwi ni ugonjwa wa kulogwa , na kila mtu akianza kuumwa alienda kwa mganga , na waganga walikua wanatoa sababu za kichawi na kilozi.
Hapo tujiulize, ikawaje nchi nzima waliamini hivyo bila kugundua sio , na humu humu wachawi wapo ,kama wanavyodai na waganga wa kuagua?
Mbona leo baada ya Ukimwi gudundulika hayo madai yamepotea ?
Kuna kitu kinaitwa burden of proof, ukisema kitu kipo lazima uwe na hiyo burden of proof sasa mkuu unaleta stori hamna mtu anataka kusikia stori njoo na fact hapa tujadili utuambie ilikuwa aje!Sawa tufanye hivi unayoyajua wewe yote yapo sahihi na wanayoyajua wengine ambayo ni tofauti na uyajuayo ni wajinga na hawana mashiko.
Mbinu mbovu kabisa ya majadiliano unatumia.
Kuna ile hali ya half sleep paralysis, huwa inatokea ukiwa umelala , unakua macho nusu, huku mwili umepigwa na ile kemikali yakufanya usiumie ukiwa usingizi.Exactly..ni kama zamani huko ukianguka ghafla ukafa tutasema umelogwa kwanini ufe bila kutumia ila nowadays unakufa na unapimwa na inajulikana ni heart attack
Wewe ndio mwenye uhitaji wa kujua halafu badala ya kutumia mbinu nzuri za kuhoji upewe taarifa unaanza kutoa burden of proof. Hii ni aina gani ya utafiti ndugu.Kuna kitu kinaitwa burden of proof, ukisema kitu kipo lazima uwe na hiyo burden of proof sasa mkuu unaleta stori hamna mtu anataka kusikia stori njoo na fact hapa tujadili utuambie ilikuwa aje!
Kuna episode moja kwenye podcast ya joe rogan alikuwa na mwanasayansi mmoja anaitwa Mathew Walker alikuwa anazungumzia ishu za usingizi na ndoto ukisiliza hii utajua mambo mengi ya uongo tulikuwa tunaambiwa kuhusu ndoto na usingiziKuna ile hali ya half sleep paralysis, huwa inatokea ukiwa umelala , unakua macho nusu, huku mwili umepigwa na ile kemikali yakufanya usiumie ukiwa usingizi.
Sasa mchakato ukiwa haujakamilika kuna namna utahisi upo macho ila unashindwa nyanyua viungo na kupata hali fulani ya koromeo kukaba wakati ukipambana kuamka
Sasa hali hii watu walikua wanadai ni kunyongwa na mashetani au wachawi usiku , utasikia mtu anakusimulia yani nilipambana nikasema shindwa kwa jina la yesu mpaka nikaachiliwa
Zaidi ya kina min -me , dosho12 wa waungwana Wengi waliotupa Elimu humu ndani ni hoja umeiona zaidi ya ujinga na vitisho?Wewe ndio mwenye uhitaji wa kujua halafu badala ya kutumia mbinu nzuri za kuhoji upewe taarifa unaanza kutoa burden of proof. Hii ni aina gani ya utafiti ndugu.
Kiufupi unaamini mwenye taarifa hizo analazimika kukupa wewe taarifa, ndiyo maana nikakuambia unatumia njia isiyo sahihi labda kutafuta kujua mambo hayo.
Mfano mtu akikupa taarifa huku mtandaoni utaikataa kwasababu itakuwa ni stori tu. Unahitaji taarifa kupitia stori za mtandaoni halafu ukipewa stori utaikataa kwasababu ni stori.
Utafiti wako utaishia wapi, mkubwa.?
Ndio watu husema issue ya jinamizi dah kwel Elimu ni muhimu mno.Kuna ile hali ya half sleep paralysis, huwa inatokea ukiwa umelala , unakua macho nusu, huku mwili umepigwa na ile kemikali yakufanya usiumie ukiwa usingizi.
Sasa mchakato ukiwa haujakamilika kuna namna utahisi upo macho ila unashindwa nyanyua viungo na kupata hali fulani ya koromeo kukaba wakati ukipambana kuamka.
Sasa hali hii watu walikua wanadai ni kunyongwa na mashetani au wachawi usiku , utasikia mtu anakusimulia, "yani nilipambana nikasema shindwa kwa jina la yesu mpaka nikaachiliwa".
📌🔨💪🏿 Na uchawi ni matokeo.. Hauna ithibati za kisayansi kwakuwa modelity yake inaenda kinyume na sayansiUchawi unalindwa na professional code of ethics.. haupo public na Siri na misingi yake inasimamiwa na wenyewe. You are looking for it in a wrong place.. Mshana Jr