Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Ndivyo unavyoamini mkuu?

Wengi hamuelewi majukumu ya mwanaume hasa anapoamua kuwa Baba wa familia,nimekuwa na rafiki zangu ambao wanaendekeza huu umwamba ila kila wakati jasho lao hulitumia kwa maumivu makali sana mf:yupo mmoja siku hiyo anaogopa kupokea simu ananiambia niipokee mimi nidanganye amesahau simu kisa anayepiga ni ma.laya wake aliyemuahidi kumlipia kodi miezi 6 Tabata (yeye mwenyewe anaishi chumba na sebule Tegeta na familia) acha mizinga ya saloon etc na maendeleo hana.

Ukitoa kuogopa dhambi ya uzinzi kutulia na mwanamke mmoja kuna manufaa sana (wachache wamefanikiwa kuyajua),kwanza unakuwa huru mimi simu zangu muda wowote mahali popote mke wangu anashika passwords zote anazijua wakati mwengine nikiwa mbali hutoa yeye maelezo,kufanya sex iliyo safi na kwa uhuru,salama na ya furaha,wakati fulani bado mgeni kwenye ndoa mke wangu alipojifungua first born wetu nikaiga kutoka nje nilikutana na ex ujinga ujinga nikajaa,hofu hofu nimevaa mipira nikiwaza gharama nilizotumia mpaka kukamilisha hiyo mission nikaona ni ujinga,ukishakuwa na watoto wawili+ (though ninao wawili bado nitaongeza Mungu akipenda najiona niko aged 50) najua ndoto zao nimezibeba mimi kutumia pesa 100K pasi na manufaa siioni faida yake zaidi nitawaza niifanyie nini kwa kesho yao au bora waitumie wao kuvaa kula ada etc.

Kuwa muaminifu kwenye ndoa hukupa amani ya maisha,muda wote nyumba inatamalaki furaha mke anacheka watoto wanafurahi hakuna hisia mbaya dhidi yako watoto wanaijua ratiba ya Baba yao kurudi nyumbani ni furaha sana unaingia home watoto wanakufurahia na wanakupa taarifa siku yao ilivyoisha najua hata siku sipo wataukumbuka uwepo wangu (ukiwa mzinzi haya yote utayafanya muda gani wakati ukirudi wamelala?)
Kila mtu timamu anatamani haya ila inategemea na mke uliye naye
 
Hii mada iliibuka sehemu ya kazi jana, 99% ya wanaume waliokuwwpo pale walikiri wamechepuka.

Huwa nasema, at some point in life, mwanaume lazima atapiga puchu, mwanaume ataanguka katika uzinzi.

Cheating is a choice though, unaamua sasa nacheat, Ila kuna internal factors katika hili.

Huwa nawaambia wanawake, usimnyime mume wako.
Wanawake wengi sikuhizi hawawezi kutoa huduma pale unapohitaji! Aidha akuzungushe wee akukate mood kabisa. We have a very short term endurance katika haya maswala. Ukiwa ignored 2-3 times in a row you actually start seeking for relief outside
 
Wanawake wengi sikuhizi hawawezi kutoa huduma pale unapohitaji! Aidha akuzungushe wee akukate mood kabisa. We have a very short term endurance katika haya maswala. Ukiwa ignored 2-3 times in a row you actually start seeking for relief outside
Absolutely kiongozi! Unakuja na mood ya kunyandua, unaambiwa "nimechoka au sijisikii", inajirudia hivyo mara kibao at the end mtu anaona isiwe tabu, after all nyapu si zipo kibao.
 
Habari yako ndugu msomaji.

Hili ni swali la kizazi cha leo, watu wengi wamelijibu kutokana na hisia zao na sababu mbali mbali zisizo na ukweli. Leo tulijibu katika uhalisia wake.

Kabla hujajibu lazima ujue hili, nini kinapelekea wanaume kuwasaliti wapenzi wao? Tuanze na mzizi.

Ukweli ni kwamba, japokuwa wapo wanaume waliojengewa au kujijengea tabia hii, kinachomfanya mwanaume achepuka ni kukosa CONTROL dhidi ya asili yake ambayo ni HUNTERS/WAWINDAJI. Hii ni asili yetu kama wanaume, kuwawinda wanawake kwa kila namna ili kuwapata kimapenzi.

Baada ya kuelewa chanzo, sasa utanielewa nikisema SWALI halitakiwi kuwa NI KWELI HAKUNA MWANAUME ASIE CHEPUKA? bali linatakiwa liwe JE, INAWEZEKANA MWANAUME ASICHEPUKE?. Ukweli ni kwamba WAPO WANAUME WASIO CHEPUKA na INAWEZEKANA KABISA.

Yafuatayo ni mambo matatu yanayoweza mfanya mwanaume aitawale asili yake na hatimae kutochepuka kabisa:

KUWA NA MALENGO:

Hapa simaanishi zile ndoto zisizo na kichwa wala mkia, mfano unasema malengo yako ni kuwa na pesa nyingi! Sasa Ukiwa na hela ndio utafahamika kama nani? Ninaposema malengo namaanisha lile kusudi la wewe kuwepo duniani. Usiniambie ulizaliwa ili tu uwe na pesa.

Hakuna kiumbe hatari zaidi duniani kama mwanaume asie na malengo. Huyu ni sawa na risasi iliyokosa muelekeo.

Ukiwa na malengo, utakuwa na muelekeo katika maisha na hutakuwa na muda wa kupoteza kuwinda winda wanawake.

2. MARAFIKI:

Huji kukuta swala anatembea msafara mmoja na Simba, labda ajichanganye na nyumbu. Wazungu wanasema,

"Show me your friends and I will tell you who you are."

Ukiwa na mke au mpenzi basi kaa na rafiki wenye wake/wapenzi pia. Ukikaa na nyumbu au wanaokula majani wakati wewe unakula nyama mwisho wa siku utajikuta unakuwa kama wao. Mwanaume mwenye malengo hakai vijiweni kupiga soga hata sikumoja. Vijiwe wanakaaga swala na nyumbu sio masimba dume embu jiheshimu. Asilimia kubwa vijiwe vinamfanya mwanaume atamani kufanana au kuwazidi wenzake ambao wanatembea na wanawake wanne kwa wiki! Maranyingi hizi ndio story za vijiweni, story zinazohamasisha kuwatumia wanawake kimapenzi; ukikaa nao utaishia kuingia kwenye hii ligi tu!

3. TAFUTA ROLE MODEL/MENTOR:

Hili ndio kosa wanalolifanya wanaume wengi sana. Hakuna kitu muhimu kama kuwa na mtu unaejifunza toka kwake na anaeweza kukushauri. Wanaume wengi hawajui kuchagua mentors/role models hivyo unakuta mtu anauwezo wa kibiashara lakini role model wake ni CHRIS BROWN! wapi na wapi???

Tafuta role model anaeweza kufanya lile unalofanya wewe. Na awe kafanikiwa katika hilo. Sio lazima awe perfect lakini katika yale unayovutiwa kuyafanya awe ameyamudu.

Namna ya kumchagua role model:

Usiangalie umri wakeHakikisha haishi maisha ya kuigizaAwe na uwezo wa kukusaidia katika unalojifunza toka kwakeAwe na mafanikio katika unalojifunza toka kwakeAwe na sifa ya uongoziSio lazima awe ndugu au mtu wa karibu. Hata akiwa taifa tofauti ni sawa.View attachment 1880033
Naweza kusema ni suala la mda
 
Kuna vyupi siku hizi ni noma sana, yaani totozi za siku hizi usichepuke wewe ni nani?
Unakuta toto imekuvalia 🔞
Pita sokoni, pita madukani, kwenye daladala, super market, hospitali, na kila mahali totoz kama zote hivi. Sisemi bar maana mtasema huko men kafuata mwenyewe.
 
Mie pia sichepuki ila tu mwanamke anashindwa kuhimili vishindo vyangu so anaanza usumbufu wa K inapelekea lazima nikachakate papuchi ingine nje
Mchane ukweli kwamba anakubania,na hivyo hamu yako haiishi kwahio hio inaweza kusababisha ukashawishika kutoka nje ya reli.
Mwanzo anaweza kuwa mkali lakini akikaa mwenyewe ataiona hatari iliyopo mbele yake atajirekebisha
 
Mchane ukweli kwamba anakubania,na hivyo hamu yako haiishi kwahio hio inaweza kusababisha ukashawishika kutoka nje ya reli.
Mwanzo anaweza kuwa mkali lakini akikaa mwenyewe ataiona hatari iliyopo mbele yake atajirekebisha
Analijua hilo
 
Ukiangalia mwanamke anatongozwa na wanaume wengi kwa siku ,
Kuliko mwanaume anavyotongoza kwa siku.

Hii inamaanisha mwanamke anachepuka zaidi kuliko mwanaume.

Ukweli mchungu.

Sababu hata huyo mwanaume anayechepuka anachepuka na.mke wa mtu..
 
Back
Top Bottom