Mpwimbe
JF-Expert Member
- Oct 13, 2023
- 455
- 818
Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia.
Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza kuhamasiaha wenzake kupitia social network.
Hakuna namna wanaweza kupata recognition wakasaidiwa hasa issue ya VISA, kuepuka kulazimika kutoka nje ya nchi kila baada ya miezi mitatu na kurudi.
Hili linahitaji mjadala kwa hapa kwetu, maana mwanzonwalikuwa wanahamia sana Ghana.