Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

Mpwimbe

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2023
Posts
455
Reaction score
818
Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia.

Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza kuhamasiaha wenzake kupitia social network.

Hakuna namna wanaweza kupata recognition wakasaidiwa hasa issue ya VISA, kuepuka kulazimika kutoka nje ya nchi kila baada ya miezi mitatu na kurudi.

Hili linahitaji mjadala kwa hapa kwetu, maana mwanzonwalikuwa wanahamia sana Ghana.
 
Uliweswe??
Nimemkumbuka tuu mchekeshaji wa cheka tv..Aza boy huwa anasema ametokea Mpwimbe...
Turudi kwenye mada...
Mada yako ni nzuri
Tusubiri kama itaonekana huko zerikalini
 
Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaolenda kufanya biashara na wengine wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia.

Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza kuhamasiaha wenzake kupitia social network.

Hakuna namna wanaweza kulata recognition wakazaidiwa hasa issue ya VISA, kuepuka kulazimika kutoka nje ya nchi kila baada ya miezi mitatu na kurudi.

Hili linahitaji mjadala kwa hapa kwetu, maana mwanzonwalikuwa wanahamia sana Ghana.
Nani kawakataza Mkuu kuhamia?
 
nipandishe clip ya black american aliyekua ana sema 10 reasons why you should not invest in tanzania? umejitekenya hakuna cha wimbi hilo. wengi wanaenda Ghana na Botswana
 
Back in the 80's we had members of The Black Panthers Party flocking to TZ en masse especially in Arusha. And even before that we had many skilled Black Americans working for Mzee Nyerere in various fields including Academia.

Not anymore, TZ isn't a safe haven. Unstable politics, Heavy Taxes, Bureaucratic nature of issuing Residential Permits, Extreme Inflation, Dilapidated Infrastructure, to mention few, are a nightmare.

TZ behaves more like a Feudal Fiefdom than a Sovereign Republic. UMWINYI- UMWINYI wa kiwaki tu​
 
nipandishe clip ya black american aliyekua ana sema 10 reasons why you should not invest in tanzania? umejitekenya hakuna cha wimbi hilo. wengi wanaenda Ghana na Botswana
Lipo, tena kubwa tu.

Ila kuna mchanganyiko.

  • Watalii
  • Youtubers
  • Wanaohamia
  • Wanaokuja kama wastaafu.

Kuna mmoja aliondoka kwa mbwembwe akaenda South Afrika, ila cha kushangaza amerudi tena.
 
Back in the 80's we had members of The Black Panthers Party flocking to TZ especially Arusha en masse. And even before that we had many skilled Black Americans working for Mzee Nyerere in various fields including Academia.

Not anymore, TZ isn't a safe haven. Unstable politics, Heavy Taxes, Bureaucratic nature of issuing Residential Permits, Extreme Inflation, to mention few, are a nightmare.​
Then, where is the safe haven where

  • Politics are stable
  • Less taxes
  • No bureucracy when it comes to permits
  • No inflation.

So sickening,

For a foreigner, sidhani kama you have to get too much into politcs kiasi cha kukufanya ukose amani. Yaani utoke Ulaya ambako kichwa kinawaka moto kila simunkwa systemafic racism, then uje kujiumiza kichwa na local politics.

Taxes nchinhii, wote tunajua zinalipwa vipi, this is not Europe au US ambako usipokipa utalipa tuuu.

Eesidential permits ndio najaribu kuzungumzia hata angalau ipatikane favour fulani kwa wale ambao wana nia ya kuishi au kustaafu.

Inflation labda kama unataka kuishi kama EXPAT, otherwise the blame gamer.
 
Then, where is the safe haven where

  • Politics are stable
  • Less taxes
  • No bureucracy when it comes to permits
  • No inflation.

So sickening,

For a foreigner, sidhani kama you have to too much into politcs kiasj cha kukufanya ukose amani. Yaani utoke Ulaya ambako kichwa kinawaka moto kila simunkwa systemafic racism, then uje kujiumiza kichwa na local politics.

Taxes nchinhii, wote tunajua zinalipwa vipi, this is not Europe au US ambako usipokipa utalipa tuuu.

Eesidential permits ndio najaribu juzungumzia hata angalau ipatikane favour fulani kwa wale ambao wana nia ya kuishi au kustaafu.

Inflation labda kama unataka kuishi kama EXPAT, otherwise the blame gamer.
Unless you're an entitled, bigoted and less traveled dunce, you'll think that blacks are living a hellish nightmare in America. On the contrary, blacks are doing just fine in America.

Indeed, the US is far from perfect but blacks especially immigrants are doing fine. My family is doing very fine in America. You just need to put the hard work and shove that sense of entitlement down your throat.

Magufuli's presidency was a proof of unstable politics. There was a capital flight and mass exodus of foreign talents. TZ hasn't been able to recover ever since.

The legal system of TZ is archaic and not investor friendly. Sorry to burst your bubble, but this is a bitter truth.​
 
Waliotaka kuhamia ikashindikana ni nani?
Punguza uvivu, jifunze kusoma.

Mbona iko wazi.

Mgeni akija, anapewa VISA miezi 3 na kama anataka kuishi, anatamiwa kutoka nje ya nchi na kuingia kuomba upya.
 
I am neither American nor a Diaspora.

I am here to echo what they are saying.

If you are family is doing great in US, it's okay.
 
In that enviroment the Chinese and Indian people are surviving.

You just wait for a perfect world.
 
Tatizo ushoga duh!!! nilienda Marekani kwenye zile club zao aisee niliyoyaona Mungu atusaidie .
 
Punguza uvivu, jifunze kusoma.

Mbona iko wazi.

Mgeni akija, anapewa VISA miezi 3 na kama anataka kuishi, anatamiwa kutoka nje ya nchi na kuingia kuomba upya.
Huwa kuna taratibu za kuomba uraia, na zinafahamika
 
I am not American.

I am here to echo what they are saying.

If you are family is doing great in US, it's okay.
What you're saying was in vogue in early 90's. Mzee Nyerere made a speech at the Hill (UDSM) and South Africa, that Africa should never sever it's relationship with American Black Diaspora.

He envisioned an Africa which could be a Mecca of American talents, especially Black Americans. But this proved impossible. And what initiative did we take ?

Atleast, we could have started with Dual Citizenship, Honorary Citizenship or Expert Passport (Atleast our own version of the Green-Card), to make things easy for Black Americans to reside here. But NADA, nothing!

To make matters worse, in 1999, we enacted a piece of land legislation which made it too difficult for foreigners to have access to land a as a means of production.

The legal fees are way above the ceiling, the corruption is stinking and bureaucracy is just a nightmare.

People who can reside safely here in TZ are Chinese and Western Immigrants who are extremely loaded and have backing by their government.

And by the way, I mentioned of my American family not to brag, but to send a point home. Why would blacks wish to come here in TZ while the US is just doing fine. Yes there are some challenges here and there, but US is just fine, believe me.​
 
What you're saying was in vogue in early 90's. Mzee Nyerere made a speech at the Hill (UDSM) and South Africa, that Africa should never sever it's relationship with American Black Diaspora.

He envisioned an Africa which could be a Mecca of American talents, especially Black Americans. But this proved impossible. And what initiative did we take ?

Atleast, we could have started with Dual Citizenship, Honorary Citizenship or Expert Passport (Atleast our own version of the Green-Card), to make things easy for Black Americans to reside here. But NADA, nothing!​
This is what i was trying to say.

Great recommendations.

To make matters worse, in 1999, we enacted a piece of land legislation which made it too difficult for foreigners to have access to land a as a means of production.

The legal fees are way above the ceiling, the corruption is stinking and bureaucracy is just a nightmare.

People who can reside safely here in TZ are Chinese and Western Immigrants who are extremely loaded and have backing by their government.

And by the way, I mentioned of my American family not to brag, but to send a point home. Why would blacks wish to come here in TZ while the US is just doing fine. Yes there are some challenges here and there, but US is just fine, believe me.​
Possibly It's fine to you and your family.

And, i am not trying in any way to tell anyone to come here.

Just thinking of those who are residing in here already
 
In that enviroment the Chinese and Indian people are surviving.

You just wait for a perfect world.
From a personal experience dealing with Chinese clientele, I tell you this is an unfair comparison.

Most of Chinamen dwelling in Tanzania hail from bilateral Mega-Projects between PRC and URT. Make no mistake, PRC has the most skilled labour this world has ever seen dwarfing that of Americans, plus Chinese embassies and consulates offer them lots of incentives.

With Indians it's a whole different story. Most of them are old money. They've been in control of our financial system since colonial times, so their wealth is generational. Most rich Indians in East Africa have had a good head start from family links.

Black Americans aren't supported by anyone. They're caught between a rock and a hard place. The US government loathes them, and African governments aren't so welcoming either.

Being an ardent believer in the BACK TO HOME MOVEMENT, I would love to see black Americans find home in TZ. But I also realize that this would end up being a disaster to them like it did in Liberia.

I've been old enough to see how unpredictable TZ authorities can get.​
 
Back
Top Bottom