Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Weee unafatilia kina dizasta.... ??[emoji28][emoji28],labda kwa sababu huwa simfuatilii,ila sidhani maana hata kama zina ujumbe zinakuwa na mipasho ya ajabu ajabun ndio kinachoharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee unafatilia kina dizasta.... ??[emoji28][emoji28],labda kwa sababu huwa simfuatilii,ila sidhani maana hata kama zina ujumbe zinakuwa na mipasho ya ajabu ajabun ndio kinachoharibu
Ndo walikua wanakuambia...😂😂😂😂😂mali yake ishaliwaaaà
nauchukiaaaaaaaaaaaaaa
Jaribu kuhisi mali yako inavyoliwa mkuuNdo walikua wanakuambia...😂😂😂😂😂
Hapana,mimi napenda zaidi,Rnb,Blues na Country,hapa bongo labda nisikilize hit songs chache tu,sio mpenzi wa HipHopWeee unafatilia kina dizasta.... ??
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaah inauma sana .Fikilia
Jaribu kuhisi mali yako inavyoliwa mkuu
Harafu anaifanyeje kwa ndani😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaah inauma sana .
Bibie zuhura huyo.... Hiyo ndo bongo flava mkuu... Na ufundi wa kutunga mashahiriHarafu anaifanyeje kwa ndani
Huyu muimbaji asije kwetu naweza nikamuibukia na panga
Ooya Oliver Ngoma ni music mzuri huo ukiweka ngoma inaitwa Bane ongeza sauti mpaka mwisho,Kuna msanii napenda kusikiliza ngoma zake anatokea Gabon, Oliver ngoma je hapo vipi na mimi ni kijana, ila wanasema nasikiliza nyimbo za kizee
Exactly. Kuna day nilikuwa naplay nyimbo kwa bluetooth kwenye kipub kimoja hivi. Nyimbo ya kwanza niliweka dat be dem ya fedro star, pili nikaweka who we be ya dmx, then nikaweka together ya buster ft rah digga... nikasikia meza ya pembeni wanaume wanamwambie yule muhudumu kaunta tutolee manyimbo yako yasiyoeleweka. Dah nikashangaa sana.Mwanaume hupaswi kusikiliza nyimbo yeyote ambayo msanii ana behave kishololo shololo (hususani kwa ma artist ambao ni wanaume)
Mwanaume unatakiwa usikilize nyimbo ngumu uumize kichwa ku decode ujumbe na sio kupenda mseleleko wa vitu vyepesi kwa kupagawishwa na auto tunes.
Mwanaume unatakiwa nyimbo unayoipenda hakikisha haipendwi na mademu, na kama ikitokea basi aina ya mademu wale wenye brain heart wanaosikiliza nyimbo ngumu.
Mwanaume inatakiwa ukikutwa unasililiza nyimbo kila mtu akuulize huyo ni msanii gani na hiyo ni nyimbo gani.
Kuna ngoma wameshirikiana na Migos?Kina JLO,Maria Carey?
[emoji23][emoji23],Au labda ulevi unaweza kukubadili mapenzi yako ya nyimbo kwa muda?Exactly. Kuna day nilikuwa naplay nyimbo kwa bluetooth kwenye kipub kimoja hivi. Nyimbo ya kwanza niliweka dat be dem ya fedro star, pili nikaweka who we be ya dmx, then nikaweka together ya buster ft rah digga... nikasikia meza ya pembeni wanaume wanamwambie yule muhudumu kaunta tutolee manyimbo yako yasiyoeleweka. Dah nikashangaa sana.
Nikaanza kuplay upo nyonyo na zuchu eti wakainuka wakawa wanacheza, dah
Ninazo kwenya PCDu!hii list umeandaa saa ngapi? Namba 30 naukubali sana
Ngoja nisikilize ngoma zao.Hapana,sidhani kama ipo