Je kuna nyimbo mwanaume hupaswa kuzishabikia pia kuna nyimbo mwanaume hapaswi kuzishabikia?

Je kuna nyimbo mwanaume hupaswa kuzishabikia pia kuna nyimbo mwanaume hapaswi kuzishabikia?

[emoji28][emoji28],labda kwa sababu huwa simfuatilii,ila sidhani maana hata kama zina ujumbe zinakuwa na mipasho ya ajabu ajabun ndio kinachoharibu
Weee unafatilia kina dizasta.... ??
 
Weee unafatilia kina dizasta.... ??
Hapana,mimi napenda zaidi,Rnb,Blues na Country,hapa bongo labda nisikilize hit songs chache tu,sio mpenzi wa HipHop

Bongofleva ya zamani ulikuwa nzuri,Kina Inspekta Haroun,Dully Sykes,Wanaume family nk
 
Upo sahihi kabisa, mwanaume huwezi sikiliza nyimbo km "moyo unadunda pu pu puuu" au "Nampa sukari" na unalamba kabisa mikono....
[emoji23][emoji23][emoji23],eti moyo unadunda Pu!Pu!Pu! Aisee nimecheka!
 
Kuna msanii napenda kusikiliza ngoma zake anatokea Gabon, Oliver ngoma je hapo vipi na mimi ni kijana, ila wanasema nasikiliza nyimbo za kizee
Ooya Oliver Ngoma ni music mzuri huo ukiweka ngoma inaitwa Bane ongeza sauti mpaka mwisho,
 
Mwanaume hupaswi kusikiliza nyimbo yeyote ambayo msanii ana behave kishololo shololo (hususani kwa ma artist ambao ni wanaume)

Mwanaume unatakiwa usikilize nyimbo ngumu uumize kichwa ku decode ujumbe na sio kupenda mseleleko wa vitu vyepesi kwa kupagawishwa na auto tunes.

Mwanaume unatakiwa nyimbo unayoipenda hakikisha haipendwi na mademu, na kama ikitokea basi aina ya mademu wale wenye brain heart wanaosikiliza nyimbo ngumu.

Mwanaume inatakiwa ukikutwa unasililiza nyimbo kila mtu akuulize huyo ni msanii gani na hiyo ni nyimbo gani.
Exactly. Kuna day nilikuwa naplay nyimbo kwa bluetooth kwenye kipub kimoja hivi. Nyimbo ya kwanza niliweka dat be dem ya fedro star, pili nikaweka who we be ya dmx, then nikaweka together ya buster ft rah digga... nikasikia meza ya pembeni wanaume wanamwambie yule muhudumu kaunta tutolee manyimbo yako yasiyoeleweka. Dah nikashangaa sana.

Nikaanza kuplay upo nyonyo na zuchu eti wakainuka wakawa wanacheza, dah
 
[emoji23][emoji23],Au labda ulevi unaweza kukubadili mapenzi yako ya nyimbo kwa muda?
 
Back
Top Bottom