DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
in fact kwa maoni yangu,Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Tundu Lissu hapoi wala haboi, anawaweka matumbo joto ndio maana wanamuogopaUchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
in fact kwa maoni yangu,
muungwana ni muhalifu hatari zaidi kwa usalama wa taifa, na anastahili adhabu kali sana hususani ya kifungo cha maisha jela, kunyongwa hadi kufa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi ili iwe fundusho kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wengine wanaodhani mamlaka za nchi, sheria na katiba ya nchi vimeenda likizo.
hayo ya uchaguzi nadhani ni porojo isiyo na maana yoyote gentleman 🐒
Lengo la shauri na kuzuia vyama vyama vya upinzani kushirikiUchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Je hili shauri ni la kubambikwa au ni halali?Hapana , nadhani haya ni makosa makubwa yanafanyika.
Tundulisu amefanya siasa miaka mingi , je imekuaje tangu 2025 awe tishio kwa serikali na usalama wa nchi.
Swala hili bado Lina utata , kwakuwa faida za Lissu kukaa ndani na hasara za yeye kuwa nje bado inaonekana kukaa kwake ndani ni hasara kubwa kwa Taifa .
Kiburi na Kukomoana. Zote ni Tabia maarufu za KIKEUchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Je hili shauri ni la kubambikwa au ni halali?
Gentleman,Hapana , nadhani haya ni makosa makubwa yanafanyika.
Tundulisu amefanya siasa miaka mingi , je imekuaje tangu 2025 awe tishio kwa serikali na usalama wa nchi.
Swala hili bado Lina utata , kwakuwa faida za Lissu kukaa ndani na hasara za yeye kuwa nje bado inaonekana kukaa kwake ndani ni hasara kubwa kwa Taifa .
Ndiyo, zipoUchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Sawa na 'ana kesi ya kujibu'Ndiyo, zipo
KabisaaaaSawa na 'ana kesi ya kujibu'
Atahukumiwa.Kesi ya kujibu anayo wanaweza tu kuamua kumpotezea ila jeuri yeke ndio inayofanya aendelee kukaa ndani
Mimi naona alikuwa anaongea bila kuacha njia ya kutokea...
Na sijui kwa nini alifanya hivyo huku yeye ni mwana sheria hivyo anajua matokeo yake ni kifungo....au pengine alitamani apate record ya kuwa gerezani kama viongozi wengine walivyopitia wakati wa kudai uhuru...
Pamoja na kuwa mimi sio mwanasheria ILA taratibu zikufuatwa sioni akichomoka bila huruma ya mwenye...kiti....