Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Maamuzi ya kamati kuu ya chama cha mapinduzi ni kwamba Lissu afunguliwe mashtaka haraka sana kwa kuwa atakisumbua chama na serikali kwa hili la october 29 na utekaji.
Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu
Ningekuwa hakimu ningemuweka ndani Hadi nywele zifike magotini ndo kesi iendelee, ye si Mandela bwanaaa!Kesi ya kujibu anayo wanaweza tu kuamua kumpotezea ila jeuri yeke ndio inayofanya aendelee kukaa ndani
Huenda vyombo vya sheria vinatumika kusaidid upande mmoja wa siasa. Haviko huru kama ilivyo KenyaHilo sio swali la kumuuliza Great thinker kama Mimi mkuu
Ndo maana thread yangu imeuliza je Kuna sababu yoyote ya msingi mpaka Sasa serikali kutoifuta kesi ya Lissu , baada ya uchaguzi mkuu kupitia?..
Hilo swali linakupa picha kuwa kesi ya Lissu ni legit au lah !
Wewe una akiri sana. Unafaa kuwa makamuNingekuwa hakimu ningemuweka ndani Hadi nywele zifike magotini ndo kesi iendelee, ye si Mandela bwanaaa!
Umeona ee?Wewe una akiri sana. Unafaa kuwa makamu
Yaani wewe utawakomesha sana walala hoi. Chini ya utawala wako wasahau kabisa katiba na uchaguzi wa huru na haki. Una akiri za kuzidiUmeona ee?
Umeona ee?!!Yaani wewe utawakomesha sana walala hoi. Chini ya utawala wako wasahau kabisa katiba na uchaguzi wa huru na haki. Una akiri za kuzidi
Kesho watamwachia ili kuua nguvu ya nchimbi kujiudhulu maana anatrend sanaUchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.