Je Kuna sababu zozote za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta kesi ya lissu mpaka Sasa ?.

Maamuzi ya kamati kuu ya chama cha mapinduzi ni kwamba Lissu afunguliwe mashtaka haraka sana kwa kuwa atakisumbua chama na serikali kwa hili la october 29 na utekaji.
 
Kesi ya kujibu anayo wanaweza tu kuamua kumpotezea ila jeuri yeke ndio inayofanya aendelee kukaa ndani
Ningekuwa hakimu ningemuweka ndani Hadi nywele zifike magotini ndo kesi iendelee, ye si Mandela bwanaaa!
 
Natabiri TL atakua Waziri Mkuu kama sehemu ya maridhiano kama walivofanya Kenya kipindi cha Kibaki na Raila.. ndio karata wanayoweza changa now mana mambo ni magumu na Dunia yote inatizama.

Ila East Africa tunafanana siasa zetu Ug kule Byesige ndani karibia miaka miwili aisee
 
Huenda vyombo vya sheria vinatumika kusaidid upande mmoja wa siasa. Haviko huru kama ilivyo Kenya
 
Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Kesho watamwachia ili kuua nguvu ya nchimbi kujiudhulu maana anatrend sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…