Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
 
Yeah wapo ila ni wachache sana , kibongo bongo hakuna ninayemfahamu ila huko duniani namjua mmojawapo Dr Bilal Phillips japo nae ni Phd za huko huko elimu akhera.
Na jamaa ni mtata kichizi inavyoonekana ni wale wa Jini kwa Jino 😂
Maana nchi karibu nane nadhani ikiwemo Kenya walishampa Ban asiingie.

Wenzetu walijikita zaidi kwenye neno na kueneza neno , ila upande wa pili show zote zinapigika neno linapigwa na elimu ya Dunia wamo tena sio shule ya mchezo mchezo mtu unakuta ni Padre huku ni mwanasheria au Daktari tena daktari bingwa 😂😂 vitabu vinachezewa kotekote yani !!
 
Wasomi ni wengi sana ngoja utaletewa orodha lakini anza na hawa kwanza
Dr. Abuu Bakar Zubait (Mufti)
Dr. Tawakal Hussain (Imaan media/MUM)
Dr. Bilal (Imaan media)

Pale MUM na Imaan Media kuna PhD nyingi bado sijaenda kwingineko
 
Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Kwani wakibobea kwenye masuala ya elimu dunia kuna tatizo?
 
Kumbe. Nilijua ndivyo maandiko yao yanavyosema kumbe hapana ni uvivu wao tu
Uvivu tu na kuamua kuchagua moja juu ya lingine.

If anything uislam umehamasisha mno watu kusoma, rejea nchi zenye uislamu mwingi utaona jinsi elimu inavyopewa kipaumbele.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom