Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Nimekuelewa mkuu. Ila kwa huku kwetu wanaumwinyi aka usultan sana
Tatizo la kwetu ni moja, uislamu ulipokelewa na aina fulani ya watu ambao waliamua kuelemea kwenye dini zaidi kuliko dunia.
Mbaya zaidi ili kutimizia azma zao walifanya kama kuharamisha elimu ya dunia kwa utashi wao tu.

Hili lilikomaa zaidi sababu elimu ya kiislam ilikuwa inafundishwa na mtu mmoja mmoja zaidi kuliko taasisi. Hii iliondoa haja na umuhimu wa waliofundishwa kujiendeleza kidunia zaidi ikizingatiwa chimbuko la mafunzo lilielemea kwenye individual preference ya mwalimu wa kwanza.

Zamani ilikuwa mtoto anaanza kufundishwa Quran na baba yake, akisogea mbele kidogo anaenda kwa ustaadh wa baba yake, kadri anavyosogea anakwenda kwa ustaadh wa ustaadh. Akija kutahamaki kamaliza vitabu vyote vya dini bila elimu ya dunia.

Waliobahatika ni wale waliokutana na maustaadh ambao walipata nafasi ya kwenda nje ya mfumo wa ustaadh kwa ustaadh na kwenda kusomea nchi nyingine kama Misri na Saudi Arabia.

Huko wakifika wanakutana kuna masomo zaidi ya Quran na Fiqhi. Kuna elimu dunia na specialization, kwamba mtu anaamua kuchukua major ya Quran tu, kumaanisha anafundishwa kiundani na kuielewa, au ana base kwenye medicine in islam, kumaanisha anafundishwa udaktari kwa kufuata misingi ya dini lakini in reality ni udaktari ule ule.

Quran ni msingi wa kila jambo, ikisomwa na kueleweka imejumuisha elimu ya dunia yote.

Ila ikisomwa kwa kurithishwa kwa mujibu wa uelewa wa babu yake babu basi ndio tunaishia na kina Sheikh Kipozeo kusifia matako.
 
Hivi nyie baadhi ya wakiristo mbona ni (insecure) Sana ni kama mnatafuta faraja sehemu isiyokuwepo

Sisi waislam hata kama tusengekua na chochote mali bachelors masters phds.

Dini yetu ya uislam(Quran na Sunna) imejitosheleza na inatutosha kwenye kila kitu wala hatuitaji faraja na kupewa moyo kutoka kwenye vitu vingine au watu wengine hasa makafiri na washirikina na tunajiamini bila chembe ya shaka.

Na hii mada yako sio kwa ajili ya kujifunza (ukijua kama masheikh wenye phds wapo au hawapo utaongeza nini kwenye maarifa yako)
hiyo quran na sunna inaunda bidhaa? Upuuzi mtupu
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Dr Mufti Zuber
 
Kamsome Sheikh Ahmad Rusaganya advance kasoma PCM na ana masters ya education in physics and mathematics.
Ukitaka wengine nakutajia.
 
Mm naweza kuongelea kiasili dini ya kiislamu imesheheni ukanda WA pwani Kwa watu wenye asili ya uvivu kupitiliza hivo elimu ya darasani wengi wameishindwa kutokana na ushindani wake lkn tukuzungumzia Kwa ujumla katika dini Kwa upande wetu sisi ngoz nyeusi na waarabu hakuna ngozi nyeusi yoyote inayoisogelea waarabu kweny elimu Dunia na matumizi yake kweny Dunia hapo utagundua ni kwamba n uvivu tu WA watu WA Kanda fulan, waarabu wanashndana na wazungu kweny upande WA elimu sio sisi maniga takataka na elimu yetu ya madesa isiyotusaidia lolote lkn pia licha ya kushindana na wazungu hao waarabu Bado hawajafika level za wazungu Bado katika nyanja mbalimbal lakn at least wao wanajitafuta lakn sio sisi vima, Cha mwisho hao maaskofu na masheikh wenye hizo master's na PhD wametusaidia Nini Toka tupate uhuru Zaid ya kusubiria fungu la kumi kutoka kwa walala hoi
Well said
 
Hakika nilizagamuka ipasavyo.

Kwenye jambo hilo nina taaluma mahiri mno. Nikianza kulamba bichwa nashuka kwenye shingo mpaka chini kuleee.... 😍😍😍

Asalaam aleikhum sheikh...
Yaani usinikumbushe kabisa maana ninaweza ku postpone kazi ya kulijenga taifa nikakufuata hapo ulipo ili unipe tena mautamu mchana kweupe.

Yaani, yaani!!
 
Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Uislam kuna namna kama huwaga wanaikataa elimu na wameipa jina kabisa "eti elimu dunia" 🤣🤣🤣 kwamba hapo wao wapo mbinguni

Sema why taasisi yao pia ina miliki shule na vyuo? Kuna shule kibao zinamilikiwa na BAKWATA kikiwwmo na kile chuo kikuu pale Morogoro
Mnataka kutuaminisha elimu ni dhambi?

Mithali 4:13
[13]Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.

👆 ukristo unasisitiza hivyo mkuu, haijalishi ni ya dini ama dunia kama mnavyoita
 
Kamsome Sheikh Ahmad Rusaganya advance kasoma PCM na ana masters ya education in physics and mathematics.
Ukitaka wengine nakutajia.
Saafi kabisa, but ni kwa nini asilimia kubwa sio wasomi? Je, hawaoni umuhimu wa kuwa na elimu tofauti na elimu ya dini?
 
Saafi kabisa, but ni kwa nini asilimia kubwa sio wasomi? Je, hawaoni umuhimu wa kuwa na elimu tofauti na elimu ya dini?
Wasomi wapo wengi tu kaka ila hawajitangazi.
Naweza kukutajia wengine hapa ukitaka kaka.
 
Uislam kuna namna kama huwaga wanaikataa elimu na wameipa jina kabisa "eti elimu dunia" 🤣🤣🤣 kwamba hapo wao wapo mbinguni

Sema why taasisi yao pia ina miliki shule na vyuo? Kuna shule kibao zinamilikiwa na BAKWATA kikiwwmo na kile chuo kikuu pale Morogoro
Mnataka kutuaminisha elimu ni dhambi?

Mithali 4:13
[13]Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.

👆 ukristo unasisitiza hivyo mkuu, haijalishi ni ya dini ama dunia kama mnavyoita
Kwamba wana shule na madarasa ila masheihk wao hawataki elimu dunia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom