Wewe ndo mtoto unawezaje kujenga hoja Kwa dunia ya Leo bila elimu dunia? Ndo maana masheilk matamko na mahitaji yao mara nyingi Yana kuwa classified kama ni ugaidi.Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Nakupinga! Tena kwa asilimia kubwa sana mkuu, huko uarabuni pia ni watu wavivu kupindukia UAE, Oman wamejaza wataalamu kutoka mataifa ya nje hasa India inahudumia sana ukanda huoMm naweza kuongelea kiasili dini ya kiislamu imesheheni ukanda WA pwani Kwa watu wenye asili ya uvivu kupitiliza hivo elimu ya darasani wengi wameishindwa kutokana na ushindani wake lkn tukuzungumzia Kwa ujumla katika dini Kwa upande wetu sisi ngoz nyeusi na waarabu hakuna ngozi nyeusi yoyote inayoisogelea waarabu kweny elimu Dunia na matumizi yake kweny Dunia hapo utagundua ni kwamba n uvivu tu WA watu WA Kanda fulan, waarabu wanashndana na wazungu kweny upande WA elimu sio sisi maniga takataka na elimu yetu ya madesa isiyotusaidia lolote lkn pia licha ya kushindana na wazungu hao waarabu Bado hawajafika level za wazungu Bado katika nyanja mbalimbal lakn at least wao wanajitafuta lakn sio sisi vima, Cha mwisho hao maaskofu na masheikh wenye hizo master's na PhD wametusaidia Nini Toka tupate uhuru Zaid ya kusubiria fungu la kumi kutoka kwa walala hoi
Ndio hapo sasa!Kwamba wana shule na madarasa ila masheihk wao hawataki elimu dunia?
Shekhe Kipoozeo anaelewa umuhimu wa ilmu dunia..Vipi kuhusu shehe kipoozeo?!!!
No, inshu sio sheria, kama choice ya mtu ni sheria sawa, but kuna mwingine anaweza kuwa daktar nk. Kwa mfano, wakatorik unapoanza mchakato wa kujiunga na masomo ya upadri muhimu uwe na elimu ya advance ( form six), ndiyo maana huwezi kuta padri ni kilaza, wote wasomi vibaya mnoAngalia kwanza kwenye masomo , uislamu una sheria zote za mahakama so unajitosheleza kwa nafasi , inakwua useme askofu ana phd ya sheria kwani bible haina sheria zake za mahakama ..Mkristo lazima usome kwa sababu Bible haina vit vingi kama ilivyo kweny uislamu .Bahati mbaya nikikiumbia nina degree ya sharia hautambui
Huyo jamaa kawa shekhe..Aleikhum Salaam sheikh.
Hakika kisomo chako hakina mashaka. Kongole sana Sheikh secretarybird
Wewe ni tunu. Naomba tukutane jioni yale maeneo yetu nikwambie kitu.
Cc: Poor Brain
Waarabu wana elimu tofauti kabisa ,wana vyeo vyao kwa vile hawavai suti ila ni wasomi ...Nima ndugu wanaishi huko umeongea uwongo mtupu ,nikachosababisba waarabu kama Saudi na Qatar kushirikiana na wazungu ni mikataba hata jeddah tower itajengwa na kampuni ya Trump.Nakupinga! Tena kwa asilimia kubwa sana mkuu, huko uarabuni pia ni watu wavivu kupindukia UAE, Oman wamejaza wataalamu kutoka mataifa ya nje hasa India inahudumia sana ukanda huo
Dubai yale majengo yote unayoyaona yamjengwa na wakandarasi wa kigeni kwa 80% sio vibarua, kazi za ndani nk. kote wanafanya kazi wageni
Lkn elimu ni ugunduzi huwezi kusoma na usiitumie elimu yako kufanya kitu, sasa unaweza kutuambia ni bidhaa ipi waarabu wana shindana na wazungu, ikiwa hata hiyo elimu yao yenyewe wanaipata ulaya na USA
Ndio huyo shehe alitakakuja Tanzania kufanya mdahalo wa kidini? Watu wakalalamika sana mitandaoni kutokana na historia yake.Yeah wapo ila ni wachache sana , kibongo bongo hakuna ninayemfahamu ila huko duniani namjua mmojawapo Dr Bilal Phillips japo nae ni Phd za huko huko elimu akhera.
Na jamaa ni mtata kichizi inavyoonekana ni wale wa Jini kwa Jino 😂
Maana nchi karibu nane nadhani ikiwemo Kenya walishampa Ban asiingie.
Wenzetu walijikita zaidi kwenye neno na kueneza neno , ila upande wa pili show zote zinapigika neno linapigwa na elimu ya Dunia wamo tena sio shule ya mchezo mchezo mtu unakuta ni Padre huku ni mwanasheria au Daktari tena daktari bingwa 😂😂 vitabu vinachezewa kotekote yani !!
Mada kama hizi shimba unahisi kama ni uwanja wa nyumbani hivi....The best sheikh evaaaaaaaa!
Kama kuna siku nitakuja kusilimu basi itakuwa ni kwa ajili ya huyu sheikh. Yaani huwa anapiga mule mule. Au nadanganya madogo zangu Poor Brain na Intelligent businessman?
#MadakoMatale ❤
Elimu hiyo na waislamu inajitosheleza ,kuna hisabu ,sira ,tarekhe ,kuna elimu ya anga vyote kwenye uislamu vipo ..kwa wakristo hawana wanafuata mwongozo wa wazungu.😅😅ukija Tanga utaona watu wakiitw miezi huu mfungo mosi ,mfungo pili na wanajua kila kitu kwenye uvuvi.No, inshu sio sheria, kama choice ya mtu ni sheria sawa, but kuna mwingine anaweza kuwa daktar nk. Kwa mfano, wakatorik unapoanza mchakato wa kujiunga na masomo ya upadri muhimu uwe na elimu ya advance ( form six), ndiyo maana huwezi kuta padri ni kilaza, wote wasomi vibaya mno
Madako matale masoga sana 😂The best sheikh evaaaaaaaa!
Kama kuna siku nitakuja kusilimu basi itakuwa ni kwa ajili ya huyu sheikh. Yaani huwa anapiga mule mule. Au nadanganya madogo zangu Poor Brain na Intelligent businessman?
#MadakoMatale ❤
prof Assad, prof LipumbaSaalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?
Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Duh HAYA maajabu kwahyo unazani bila elimu hyo Dubai, UAE na Oman zingekua hapo zilipo hao unaosema wazungu ndo wanafanya Kila kitu unajidanganya sana na hili ndo tatzo lasisi ngozi nyeusi ujuaji mwingi na ubishi na ujinga, weka data hapa tuone wazungu wameshiriki kiasi Gani kuzibadilisha hizo nchi kushinda wazawa wenyewe ndo nitakuamni hayo unayoongea vingnevo ni ngonjera tu na pia Jua dunia ni Kijiji uwezi fanya Kila kitu pekee Yako ukiwa na Hela unatuma watu wengne wakufanyie Kaz ndo maisha yalivoNakupinga! Tena kwa asilimia kubwa sana mkuu, huko uarabuni pia ni watu wavivu kupindukia UAE, Oman wamejaza wataalamu kutoka mataifa ya nje hasa India inahudumia sana ukanda huo
Dubai yale majengo yote unayoyaona yamjengwa na wakandarasi wa kigeni kwa 80% sio vibarua, kazi za ndani nk. kote wanafanya kazi wageni
Lkn elimu ni ugunduzi huwezi kusoma na usiitumie elimu yako kufanya kitu, sasa unaweza kutuambia ni bidhaa ipi waarabu wana shindana na wazungu, ikiwa hata hiyo elimu yao yenyewe wanaipata ulaya na USA
Uislam haupimwi kwa elimu ya Dunia Bali kwa kufuata uislam kamili, maadili yake na kujua Allah kaamrisha na anakataza nini, Ujue kusoma Qur aan na Elimu ya Dini kiujumla, PhD ni si kipimo kuwa huyo mwislamu kasoma Dini, hiyo itabaki hivyo,pia Uislam si Jina Bali Kufuata kikamilifu Wala hakuna swali utaulizwa je ulikuwa na PhD? Hakuna, PhD Yako ukifa ndo mwisho wake bila kujali umefaidika nayo ama la hiyo inakuwa imeisha, Mwislamu ni kushikamana na Uislam wake Wala si kuwa na PhD FAHAMU HIVYO.Saalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?
Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi