Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Vp Professa Asad,mohamed janab au sijui maana ya sheikh
 
Wapo wengi sana, kama Abdlurhamna Sudais, Shams Al Morsalin, Ubaid ar Rahman Al Mohsen.

Hapa zamani tuliwahi kuwa na Sheikh Ali Mohsen Bharwani ambaye alikimbia alifukuzwa Zanzibar baada ya Mapinfuzi na Karume , ila kwasasa sijajua kweli.

Lakini ni vyema kujua kuwa Elimu ya Kiislam inajitegemea kwa miaka mingi mno.

Kabla ya kuwepo na vyuo maalumu vya field mbalimbali, vyuo vikubwa vya Kiislam vilikuwa vina fundisha Hesabu, Tiba, Uchumi, Jiografia nk.

Na ndo mana Uislam una banking system yake, business law, Islamic medicines nk.

.ili kujua ugunudzi na mchango wa Uislam kwenye taaluma mbali mbali jaribu kufatilia "Islamic Golden age".


Uislam sio dini ya kimbu mbumbu kama watu wengi wanavyofikiri.

Nawasilisha, mbarikiwe sana.
 
Waeleweshe hawaelewi, wanataka kulinganisha na Baatwil, Dini ya Haqi na Dini ya Msosi wapi na wapi?
Doh aisee mna fikra finyu sana.
Hii secular yenyewe ndio elimu ya kwanza aliyoanza kufundishwa baba yetu Adam kama elimu ya mazingira kama ilikua hujui.
 
Vp Professa Asad,mohamed janab au sijui maana ya sheikh
Sahihi,sheikh Ina maana kuu mbili.
Kwanza kiistwilagha/kilugha ni mtu mzima ama mzee.
Ya pili kisheria ni mtu yeyote mwenye elimu kubwa ya kidini.
 
Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Kwa degree ya toifelo kishanji theology ili uwe mzur kwa mafumbo na kukosa impact kwenye jamii zaidi ya uchochez hawana haja nazo
 
Mwarabu amegundua ndege kabla ya kina weight brother,robot ,mambo ya navigation kwenda mbali kwa kutumia compass bearing ,ndio wafanyabiashara wakubwa hata kugundua mabara mengine ,mwarabu amegundua hesabu zinafanya kazi kwenye mifumo yote ya computer ... Mwarabu alikuwa mbele kwenye architectural.

Kihistoria wazungu ni washamba wa juzi tu ,kama unavyoona mikoa ya bara... Waarabu walishaendelea muda sana na wana historia kubwa .Hayo ni machache.
Brother wachana na history sema saa hii mwarabu kagundua nini, wenzao wanakuja na magari ya umeme, internet madawa na vitu lukuki

History inaweza tengenezwa brother hata nikisema uthibitishe saa huna uthibitisho
 
Elimu hiyo na waislamu inajitosheleza ,kuna hisabu ,sira ,tarekhe ,kuna elimu ya anga vyote kwenye uislamu vipo ..kwa wakristo hawana wanafuata mwongozo wa wazungu.😅😅ukija Tanga utaona watu wakiitw miezi huu mfungo mosi ,mfungo pili na wanajua kila kitu kwenye uvuvi.

Kubali kwamba ukristo haujitoshelezi ,hakuna nchi inaongozwa kwa sheria za kikristo lazima waongezee za binadamu kwa sababu ukristo haujitoshelezi lazima uboost.

Wewe haujui hesabu hata za mirathi kwa sisi waislamu tumesoma .
Kwa hiyo mkuu , wale mashekh wasomi wenye masters au phd huwa hawayajui hayo? Kwamba kwenye usheikh kila kitu kinafundishwa? Yaani uhasibu, udaktari, uuguzi , ualimu , uhandisi nk? No, tunachojaribu kuzungumza ni kwa nini hakuna wasomi wenye taaluma nje ya elimu ya dini?
 
Project zote za makanisa,mashule,vyuo vikuu,mahospitali,ma real estate yangeongiozwa vp kama viongozi ni vilaza wanajua elimu ya dini peke yake waliyomezeshwa
Umetumia project lisipopaswa
 
Itakuwa huijui elimu ya dini vizuri. Ili uwe msomi wa dini inabidi uache kazi ufanye kazi na utumie muda mwingi sana kwenye elimu.

Wewe mfano tu kwa afrika Mashariki yetu hii hakuna Mwanachuoni, hili si jambo dogo.
Upo sahihi huwezi kua na kofia mbili either dini or elimu dunia.

Otherwise itakua ni ELIMU YA HAPA NA PALEE
Huwezi kua mbobevu kwenye dini bila kujitoa na kua dedicated na ELIMU ya DINI.
 
Mbona unachanganya mada!?
Kugundua ama uvumbuzi na usomi ni wapi na wapi!?
Mleta mada anasemea kuhusu LITERACY RATE SIO KUHUSU INVENTION AND INNOVATION.
Kuhusu LITERACY RATE waarabu wanasoma na wanapenda kusoma na Kuna hadi vyuo vipo rank ya Dunia uarabuni ikiwemo vyuo vya Saudi Arabia.
Unaonekana unaropoka huongei.
Mwaarabu kuwa mvivu haimaanishi sio msomi.
Ni wewe ndio umechanganya, mm nathibitisha tu kuwa hao waarabu wanaotetewa hapa ni weupe kichwani
 
Doh aisee mna fikra finyu sana.
Hii secular yenyewe ndio elimu ya kwanza aliyoanza kufundishwa baba yetu Adam kama elimu ya mazingira kama ilikua hujui.
Wewe hunielewi watu hawakatazwi kusoma hiyo elimu Bali kulinganisha mashekh na makasisi sijui vitu gani, Dini ya Haqi ni ipi? Kwako kama ni uislam huwezi lingana na watu wa Baatwil ila nawe uwe muislam wa Baatwil.
 
Brother wachana na history sema saa hii mwarabu kagundua nini, wenzao wanakuja na magari ya umeme, internet madawa na vitu lukuki

History inaweza tengenezwa brother hata nikisema uthibitishe saa huna uthibitisho
Uthibitisho upo .
Pia usichokijua sasa hivi Kuna innovation hakuna invention.
Pia sasa hivi Kuna kuhamishiana teknolojia kutoka kwa aliyefanya innovation ndivyo Dunia inavyoenda.
Wacha kuwa nyuma kifikra kijana.
Una mitazamo ya kizamani sanaaa.
 
Brother wachana na history sema saa hii mwarabu kagundua nini, wenzao wanakuja na magari ya umeme, internet madawa na vitu lukuki

History inaweza tengenezwa brother hata nikisema uthibitishe saa huna uthibitisho

Nimeandika tu hapo ,soma nafikria utaelewa ,nimesoma history hauwezi kujidanganya hata umleta mkubwa wako wa kanisa hachomoi.
1000067415.png
 
Kwa hiyo mkuu , wale mashekh wasomi wenye masters au phd huwa hawayajui hayo? Kwamba kwenye usheikh kila kitu kinafundishwa? Yaani uhasibu, udaktari, uuguzi , ualimu , uhandisi nk? No, tunachojaribu kuzungumza ni kwa nini hakuna wasomi wenye taaluma nje ya elimu ya dini?
Unaweza kuwa shekhe wakati unafanya kazi kwenye mifumo ya riba 😅😅😅kama unazo hizo sawa ila hauwezi kufanya kwenye Taasisi ya kiislamu...Unaweza kwenye mahakama ya kadhi kutumia kanuni za mzungu si bora tubaki na mahaka za serikali,unawekaje bank ya kiislam wakati inatoza riba sio bora kutumia zilizpo.

Uislamu uko complete .
 
Ni wewe ndio umechanganya, mm nathibitisha tu kuwa hao waarabu wanaotetewa hapa ni weupe kichwani
Wewe ndio umejichanganya kubali tu kaka usiwe mbishi.
Hapa inazungumziwa illiteracy rate.
Waarabu wasomi ndio maana Wana mfumo Bora wa uongozi uliowafanya wao waendelee kiuchumi kuliko mataifa yote Afrika.
Wanajua kupangilia bajeti na wanajua kupangilia mipango ya kuinua uchumi wao kuliko sisi Afrika.
Na hakuna anayewapangia hiyo mipango isipokua wao wenyewe na waarabu Wana economist Bora sana kama haujui.
 
🤣🤣🤣 hiyo entry yako inaonyesha we ni mtu wa aina fulani fulani "Father of robot"
Wewe hauna upeo nimesoma elimu nyingi ,naweza kumfundisha baba yako 😅😅😅naona hauwezi kuchambua mambo ...Kaa utulie mzee wa kukariri .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom