Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Hivi nyie baadhi ya wakiristo mbona ni (insecure) Sana ni kama mnatafuta faraja sehemu isiyokuwepo

Sisi waislam hata kama tusengekua na chochote mali bachelors masters phds.

Dini yetu ya uislam(Quran na Sunna) imejitosheleza na inatutosha kwenye kila kitu wala hatuitaji faraja na kupewa moyo kutoka kwenye vitu vingine au watu wengine hasa makafiri na washirikina na tunajiamini bila chembe ya shaka.

Na hii mada yako sio kwa ajili ya kujifunza (ukijua kama masheikh wenye phds wapo au hawapo utaongeza nini kwenye maarifa yako)
Dini ya majini na wajinga. Mudi aliwaweza sana
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
WAZITOE WAPI!UNADHANI MASTERS NA PHD NI KAMA MATAKO KILA MTU ANAYO!
 
Zinawasaidia mengi, kwanza kuendesha taasis ambazo ziko chini ya kanisa. Vyuo, hospitali, mashule.
Pili ni components zinazowapa knowledge ya ku interact na jamii zaid, kueleww jamii in braod way . Is why imekuwa sauti ambayo inaweza kemea serikal na mambo mengine kwenye jamii akiwa na uelewa na wanacho kifanya
kanisa na shule/hospitali nivitu viwili tofauti unalijua hilo?
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Sasa hizo PhD na master zimeisaidia nini nchi? Kwanza PhD na masters zenyewe ni za theology zina faida gani?
 
Amevumbua nini huyo shekhe? au anamsaada gani kwa taifa?
Kida ze great elimu za masheikh zinawasaidia watu wa kada tofauti katika shughuli zao.
Hebu tucheki list hii yenye mchango mkubwa katika jamii yetu kimaendeleo:

Top 10 Richest People in Tanzania (2025)​


1. Mohammed Dewji
  • Net Worth:$2.2 billion (Forbes) / $2.17 billion (Billionaires.Africa)
  • Source of Wealth:MeTL Group (manufacturing, agriculture, finance, logistics)
  • Key Facts:
- East Africa’s only dollar billionaire.
- MeTL contributes 3% of Tanzania’s GDP and operates in 11 African countries.
- Philanthropist via Mo Dewji Foundation (education, healthcare) .

2. Rostam Aziz
  • Net Worth:$700 million
  • Source of Wealth:Telecom (Tigo Tanzania, Zantel), Energy (Taifa Gas), Mining (Caspian Ltd), Aviation (Coastal Aviation)
  • Key Facts:
- Former telecom billionaire (sold Vodacom stake for $500 million).
- Owns Tanzania’s largest LPG distributor and leather factory .

3. Said Bakhresa
  • Net Worth:$400 million
  • Source of Wealth:Bakhresa Group (flour milling, Azam TV, AzamPay, hospitality)
  • Key Facts:
- Started as a restaurant owner in the 1970s.
- Dominates East Africa’s wheat milling and logistics .


4. Ally Edha Awadh
  • Net Worth:$180 million
  • Source of Wealth:Lake Group (oil, gas, logistics)
  • Key Facts:
- Expanded from fuel trading to 400+ oil tankers across 6 African nations.
- Ventures in steel production and UAE investments .


5. Edha Nahdi
  • Net Worth:$120 million
  • Source of Wealth:Amsons Group (cement, petroleum, real estate)
  • Key Facts:
- Acquired Bamburi Cement (Kenya) for $182 million.
- Started business at age 19 with Camel Oil Tanzania .


6. Seif Ali Seif
  • Net Worth:$90 million
  • Source of Wealth:Super Group (sugar production, logistics, manufacturing)
  • Key Facts:
- Owns Kagera Sugar and Mtibwa Sugar Estate.
- Reclusive tycoon with $200M annual revenue .


7. Michael Shirima
  • Net Worth:$45 million
  • Source of Wealth😛recision Air (aviation), TOL Gases (industrial gases)
  • Key Facts:
- Founded Tanzania’s leading private airline.
- Holds 42.91% stake in Precision Air .

8. Ketan Patel
  • Net Worth:$25 million
  • Source of Wealth:Shanta Gold (mining)
  • Key Facts:
- Owns 4.22% of Shanta Gold (London-listed).
- Operates New Luika Gold Mine .

9. Fida Hussein Rashid
  • Net Worth:$20–25 million (estimated)
  • Source of Wealth:Africarriers Group (automotive, real estate)
  • Key Facts:
- Pioneer in used-car dealerships in Tanzania.
- Owns Raha & Zahra Towers.

10. Hans Aingaya Macha
  • Net Worth:$15 million
  • Source of Wealth:Banking (CRDB, Maendeleo Bank)
  • Key Facts:
- Major shareholder in CRDB Bank (1.3% stake).
- Invests in microfinance .

Elimu inafaida yake lakini pia utafutaji wa pesa una umuhimu wake.
 
Wasomi ni wengi sana ngoja utaletewa orodha lakini anza na hawa kwanza
Dr. Abuu Bakar Zubait (Mufti)
Dr. Tawakal Hussain (Imaan media/MUM)
Dr. Bilal (Imaan media)

Pale MUM na Imaan Media kuna PhD nyingi bado sijaenda kwingineko
Labda Shahada za alkasusu mujarab 🤣🤣🤣
 
Hata walokole, elimu zao ni za kona kona sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom