BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Una PhD ya kukazwa aka umalaya..?
Daah!Hahaaa Sheikh ana PhD ya Astaghfirullah Studies na Masters ya Halal Love & Hustling kutoka Say Wallah University!
(LOL, SMH, Hahaaa, Brooo)
Bado anakula maandazi ya mama Zena huku akidondosha dua kwenye beat ya haramu!
Astaghfirullah but with vibes!
(🤣🔥✌️)
Na mimi ULAMA NA SHEKH MANDAZI NA KIPOROShehe Mimi hapa a.k.a shehe UBWABWA na VIPAPATIO.
Masheikh wanajisomesha wenyewe,hao wengine ni bure kuanzia kula, kulala hadi kusoma,halafu padre silaa ana PhD ya theology,kwa kiswahili nadhani ni tawhiid,masheikh Ili uwe sheikh unakua umesoma tawhiid,sheria,historia,lugha,na hapo kwenye lugha ni zaidi ya masters... mwisho wa siku hizi masters, PhD kwa viongozi wa dini zina umuhimu gani!?Yeah wapo ila ni wachache sana , kibongo bongo hakuna ninayemfahamu ila huko duniani namjua mmojawapo Dr Bilal Phillips japo nae ni Phd za huko huko elimu akhera.
Na jamaa ni mtata kichizi inavyoonekana ni wale wa Jini kwa Jino 😂
Maana nchi karibu nane nadhani ikiwemo Kenya walishampa Ban asiingie.
Wenzetu walijikita zaidi kwenye neno na kueneza neno , ila upande wa pili show zote zinapigika neno linapigwa na elimu ya Dunia wamo tena sio shule ya mchezo mchezo mtu unakuta ni Padre huku ni mwanasheria au Daktari tena daktari bingwa 😂😂 vitabu vinachezewa kotekote yani !!
Aleikhum Salaam sheikh.Asalam aleyku!!
Shehe secretarybird amesoma mpaka basi, yaani kamaliza level zote za elimu uzijuazo hapa duniani.
BICHWA KOMWE - ni Shahidi katika hili
Shehe nakumbuka ulivyomumunya dushelele la mtu mzima secretarybird hadi akapandwa na wazimu.
jibu swali nililokuuliza.Unadhani hazina msaada?
PhD ya UBWABWA na VIPAPATIONaona una phd mkuu , ni phd ya nini?
Safi sana, ni phd na masters za elimu ahkera au elimu dunia?Wasomi ni wengi sana ngoja utaletewa orodha lakini anza na hawa kwanza
Dr. Abuu Bakar Zubait (Mufti)
Dr. Tawakal Hussain (Imaan media/MUM)
Dr. Bilal (Imaan media)
Pale MUM na Imaan Media kuna PhD nyingi bado sijaenda kwingineko