MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Sheikh (pia huandikwa Shehe katika baadhi ya maeneo ya Afrika ya Mashariki) ni cheo au heshima inayotolewa kwa mtu mwenye elimu, busara, au uongozi wa kijamii au wa kidini, hasa katika jamii za Kiislamu. Asili ya neno "Sheikh" ni kutoka lugha ya Kiarabu "شيخ" ambayo maana yake ya awali ni mtu mzee au kiongozi mwenye hekima, lakini kadiri muda ulivyopita, neno hili limekuwa likitumiwa pia kumaanisha mtu mwenye maarifa ya dini ya Kiislamu au kiongozi wa kidini.No , uko out of topic mkuu, mada ni viongozi wa dini , na sio mtu binafsi
Katika baadhi ya tamaduni, Sheikh anaweza pia kuwa kiongozi wa ukoo au kabila, hasa katika jamii za Kiarabu na Kiislamu. Hata hivyo, matumizi ya neno hili yanaweza kutofautiana kulingana na eneo, mila, na madhumuni.
Soma hizo maana halafu niambie hiyo op unatokea wapi