Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Kama hazina mchango wowote, unadhani ni kwa nini wanasoma?
Ni kama wale wanaozinunua tu lengo ni kuinua status zao majukwaani
Kimsingi uongozi wao unategemea zaidi usafi kiroho na kuyasimamia mafundisho ya Mungu ipasavyo, ndiyo maana hakuna anayeweza kutumia Masters na PhD kufanya miujiza, uwezo wa kufanya miujiza ni karama itokayo kwa Mungu
 
Dah nasoma comments mdogo mdogo aisee zinaibuka hoja juu ya hoja ila to be honest uislam kwa upande wa eastern Africa kama sio kusini mwa jangwa la Sahara kuna namna ume lag behind kwenye elimu hii isiyo ya dini of which imepelekea athari kadhaa kwenye baadhi ya mifumo ya kimaisha baina ya watu wake na wa upande mwingine kielimu, kiuchumi na kisiasa. Kiufupi there has been unequal status on all these spheres due to the above scenario.
 
PhD kwao ni haram. Ilimu dunia kwao n haram.
Ingependeza kama ungetetea huo upande wako ulio na Elimu nao, ukaacha waislam wajisemee wenyewe
Ukweli ni kuwa Waislam wanatakiwa wasome Elimu zote bila kubagua na kwa kufanya hivyo watakuwa na maarifa na pia kuweza kuelewa uweza wa Mungu vizuri
 
Duh ona sasa unavyotudanganya.
Geopolitics relationship ndio useme waarabu wanaburutwa na wazungu!?
Hivi unajua chanzo Cha Iran/persia kusuguana na waarabu!?
Mbona unazusha mada juu ya mada!?
Hehehehehe doooh!
Pia usitudanganye nchi nyingi za kiarabu zimejengwa kwa projects za China kupitia Belt and Road initiative.
Punguza uongo.
Hilo linajulisha waarabu Wana akili ya matumizi sahihi ya pesa na rasilimali kuliko hata sisi Afrika.
Saadam Hussein yupo wapi?, Gadaf yupo wapi, kama wanaweza kukuondolea kiongoz wako wa juu kabisa wa serikali wanashindwa kukuwekea kiongozi wanaemtaka wao? Au kwa ulelewa wako neno kuburutwa unalielewaje?
 
Hiyo ni michezo ya geopolitics sio kuburutana.
Na usidhani kuwa Gaddafi na Saddam Hussein waliondolewa kwa nguvu za Westerners pekee.
Bali waasi wa hizo nchi ndio walioshirikiana na Westerners hadi hao viongozi wakaondolewa.
Huko sio kuburutwa Bali ni michezo ya siasa za kimataifa.
Mwishowe Iraq imerudi kwa uongozi wa kihasimu wa kina Saddam tu.
 
Waasi walitengenezwa nani, ama walishawishiwa na nan? Kwann kifo cha Daddafi anaepewa lawama ni Obama?
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Acha zarau wewe tunao wengi, mmoja wapo ni Dr. Sulee
 
Waasi walitengenezwa nani, ama walishawishiwa na nan? Kwann kifo cha Daddafi anaepewa lawama ni Obama?
Waasi walikuwa tangu muda mrefu.
Nenda kafuatilie uhasama wa walibya wenyewe tangu enzi za kina Mukhtar.
Ni kama Egypt tu enzi za kina Morsi.
USA alichofanya ni kuchochea zaidi uhasama tu ambao ulikuwepo muda mrefu baas.
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Wapo ila Phd zao ni za ubwabwa na kutoa talaka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom