Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Angalia kwanza kwenye masomo , uislamu una sheria zote za mahakama so unajitosheleza kwa nafasi , inakwua useme askofu ana phd ya sheria kwani bible haina sheria zake za mahakama ..Mkristo lazima usome kwa sababu Bible haina vit vingi kama ilivyo kweny uislamu .Bahati mbaya nikikiumbia nina degree ya sharia hautambui
Hili la kusema quran inajotosheleza kila kitu litatufanya tusitafute maarifa zaidi, na itatufanya tuyaogope mabadiliko na kujikuta nyuma ya wenzetu na baadae kuanza harakati.
 
Sasa master au phd mbele ya muumba wako ina maana gan
Kwani lengo la Mwenyezi Mungu kukuumba wewe ni nini? Hebu tuacheni uvivu , tusome tulikomboe taifa letu toka kwenye maradhi haya ya ujinga, China tulioanza nayo mdogo mdogo sasa hivi anamkimbiza mzungu kwa technolojia mpya, au unahisi umeletwa duniani uzurure then uende mbinguni kushuhurikia bikra saba?
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
DR sure ana PhD gani sijui
 
Tatizo kiongozi wao Mudy hata kusoma hakujua ndiye reference yao,aliongoza kikosi yaani kama m23 unategemea wafuasi wake watakuwaje?
 
Hili la kusema quran inajotosheleza kila kitu litatufanya tusitafute maarifa zaidi, na itatufanya tuyaogope mabadiliko na kujikuta nyuma ya wenzetu na baadae kuanza harakati.
Mkuu , kwa mafundisho ya hivi it'll take thousands of years kujikomboa na umaskini
 
Tatizo kiongozi wao Mudy hata kusoma hakujua ndiye reference yao,aliongoza kikosi yaani kama m23 unategemea wafuasi wake watakuwaje?
Kwamba reference yao ndipo tatizo linapoanzia
 
Huyu hapa nimeambiwa ni PhD holder.
images - 2024-11-29T074435.282.jpeg
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Sidhani kama hizo PhD Masters zina mchango wowote kwenye imani
 
Hivi nyie baadhi ya wakiristo mbona ni (insecure) Sana ni kama mnatafuta faraja sehemu isiyokuwepo

Sisi waislam hata kama tusengekua na chochote mali bachelors masters phds.

Dini yetu ya uislam(Quran na Sunna) imejitosheleza na inatutosha kwenye kila kitu wala hatuitaji faraja na kupewa moyo kutoka kwenye vitu vingine au watu wengine hasa makafiri na washirikina na tunajiamini bila chembe ya shaka.

Na hii mada yako sio kwa ajili ya kujifunza (ukijua kama masheikh wenye phds wapo au hawapo utaongeza nini kwenye maarifa yako)
Kama hawapo nitakuwa nimejiridhisha kwanini wengi ni washirikina,kwa akili ya kawaida unaweza eti ukawawekea kreti la soda store ili wanywe?umbumbumbu wenu unatuathiri na sisi.
 
Hizo PhD za maaskofu mara nyingi ni za mambo ya kiroho. Mf. PhD in theology, ukija mtaani itakusaidia nini? Anakuwa sawa na shehe tu, labda aingie siasa kama Silaa.
Atawakataza waamini waache kuweka vitu vya ajabu kwenye biashara hasa chakula kwamba ni uchafu tu wala haiongezi wateja .Elimu ni muhimu.
 
Hili la kusema quran inajotosheleza kila kitu litatufanya tusitafute maarifa zaidi, na itatufanya tuyaogope mabadiliko na kujikuta nyuma ya wenzetu na baadae kuanza harakati.
Umeelewa nilichoandika lakini? Hakuna aliye nyuma wala mbele ,kutafuta elimu ni faradhi ...Nimekuambia katika uislamu wa Taasisi za kiislam ni kwamba mfumo wa kiislam umejitosheleza...Kwani kazi ya Taasisi ya Kiislamu ni nn? basi angalia hata kweny website zao uoen missions na visions zao... BAKWATA imejitosheleza kwa kutoa fatwah japo hajawakamilika ...Maarifa yoyote unaweza kutafuta isipokuwa elimu ya shirk na wapo watu wanasoma elimu ya shirki(uchawi,uganga)


Hakuna sehemu umeambiwa usitafute elimu labda kama kwenu hamna elimu, elimu hii inaitwa ya mazingira kwa sababu inatakiwa usome ili kukabiliana na mazingira yao ,leo unaweza kusoma mifumo wa Ai ambapo hata nchi za kiislam walishawekeza huko na watu wanasoma ..Jaribu kufuatilia mambo kwanza utaelewa.
 
Hili la kusema quran inajotosheleza kila kitu litatufanya tusitafute maarifa zaidi, na itatufanya tuyaogope mabadiliko na kujikuta nyuma ya wenzetu na baadae kuanza harakati.

Hizi ni baadhi ya program unaweza kusoma kwenye chuo cha Maddinah pale ,zipo mpaka za engineering kama ulikuwa haujui ila inategemea utabobea nn .. Muislamu hawezi kusoma sheria ya kutungwa na wazungu ni sawa unajidangany kqa vile ipo sheria , hauwezi kusoma banking kwa kuamini riba tambua uislamu una mifumo yake ya kibank ...Hakuna degree ya kufungisha ndoa
1000067454.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom