Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Unanifanya mimi Kitimoto nocheka sana 😅
 
Sasa hao maaskofu si wana PhD za chuki dhidi ya uislamu au mnazungumzia PhD gani
 
Nimeandika tu hapo ,soma nafikria utaelewa ,nimesoma history hauwezi kujidanganya hata umeleta mkubwa wako wa kanisa

Nimeandika tu hapo ,soma nafikria utaelewa ,nimesoma history hauwezi kujidanganya hata umleta mkubwa wako wa kanisa hachomoi.
View attachment 3324280
Screenshot_20250504_115114_Chrome.jpg

Kwaiyo unatumia google kuthibitisha mkuu? So unajua kama Tanzania kupitia google ina mmiliki?

Mm nmeishi UAE hakuna watu weupe kichwani kama waarabu kwanza ni rahisi sana kuwaburuza kivyovyote vitu vyao vingi vina limitetions sio elimu, dini, siasa nk. Unataka kusema kuna mwarabu anaweza kuwadrive Europe na America? Why Europe na America wanawadrive waarabu

Saudia na UAE ni washilika wakubwa wa USA and thats why Iran anawapinga pia hao waarabu wenzake dini yao huko ni lazima mwendo wa kuburuzana tu utake usitake utaabudu watakavyo kuna akili hapo?

70% ya bidhaa zao ukiachana na vinywaji na chakula wanaagiza nje, kuna haja ya kupewa real history ya UAE na siku ukijua kuwa hata hayo maendeleo yao ni project ya USA utachoka na hautakuja kusikia UAE anatofautiana na USA kivyovyote
 
Hizi PhD za masomo ya Kanisa si mnapeana mnavyojua wenyewe!

Mnapiga kelele PhD hamsemi ni za kitu gani! Mfano Dr. Slaa na hao wote hizo PhD zao zinatoka kwenye vyuo vyao na taaluma zao!

Kipi kipya?

Hata wachawi wanaweza peana PhD!
 
Alafu hao mapadre na maaskofu ambao wana hizo PhD anglia impacts zao kwenye jamii ni zipi kama sio kila siku kutoa waraka na kueneza chuki kwa wafuasi wao.
 
Jikague kwenu kwanza kiongozi.

Kwenye familia yenu Kuna mtu yoyote ambaye ni professor ??
Kuna madoctor wangapi (wenye degree tatu)
Kuna wale wenye MS wangapi ??

Je mnafanyaje kuokoa mabinti zenu wanaoendelea kuzalia nyumbani na huku pia idadi ya WANAFELI kidato Cha nne ipo juu ??

Ukifeal na Hilo tatizo ndani ya ukoo wako ndipo uende ukawajague waislam.
 
Shehe Mimi hapa a.k.a shehe UBWABWA na VIPAPATIO.
Siku moja nimetoka majengo ya kaliua naenda sokoni sasa nafika majengo kati nakuta harusi shehe anasemaje "mwenye masikio haambiwi kula mwenye macho haambiwi sikia inshalaa tunasubulia kula ubwabwa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Pumba a.k.a shudu la mwaka hili hapa..!!
 
Jikague kwenu kwanza kiongozi.

Kwenye familia yenu Kuna mtu yoyote ambaye ni professor ??
Kuna madoctor wangapi (wenye degree tatu)
Kuna wale wenye MS wangapi ??

Je mnafanyaje kuokoa mabinti zenu wanaoendelea kuzalia nyumbani na huku pia idadi ya WANAFELI kidato Cha nne ipo juu ??

Ukifeal na Hilo tatizo ndani ya ukoo wako ndipo uende ukawajague waislam.
Kama familia yake ni ya kiislamu, usitegemee awepo mwenye PHD ambaye ni shehe
 
View attachment 3324291

Kwaiyo unatumia google kuthibitisha mkuu? So unajua kama Tanzania kupitia google ina mmiliki?

Mm nmeishi UAE hakuna watu weupe kichwani kama waarabu kwanza ni rahisi sana kuwaburuza kivyovyote vitu vyao vingi vina limitetions sio elimu, dini, siasa nk. Unataka kusema kuna mwarabu anaweza kuwadrive Europe na America? Why Europe na America wanawadrive waarabu

Saudia na UAE ni washilika wakubwa wa USA and thats why Iran anawapinga pia hao waarabu wenzake dini yao huko ni lazima mwendo wa kuburuzana tu utake usitake utaabudu watakavyo kuna akili hapo?

70% ya bidhaa zao ukiachana na vinywaji na chakula wanaagiza nje, kuna haja ya kupewa real history ya UAE na siku ukijua kuwa hata hayo maendeleo yao ni project ya USA utachoka na hautakuja kusikia UAE anatofautiana na USA kivyovyote
Duh ona sasa unavyotudanganya.
Geopolitics relationship ndio useme waarabu wanaburutwa na wazungu!?
Hivi unajua chanzo Cha Iran/persia kusuguana na waarabu!?
Mbona unazusha mada juu ya mada!?
Hehehehehe doooh!
Pia usitudanganye nchi nyingi za kiarabu zimejengwa kwa projects za China kupitia Belt and Road initiative.
Punguza uongo.
Hilo linajulisha waarabu Wana akili ya matumizi sahihi ya pesa na rasilimali kuliko hata sisi Afrika.
 
Saalam!

Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.

Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?

Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Endelea kuulizia utasikia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom