Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Wapi unashangaa mambo haujawahi kuyasikia ,kaa utulie hamna unachojua ,nenda kakariri uandike research hazina faida ..Phd wako naweza mkalisha hana kipya..😆😆😆 you see
Wapi unashangaa mambo haujawahi kuyasikia ,kaa utulie hamna unachojua ,nenda kakariri uandike research hazina faida ..Phd wako naweza mkalisha hana kipya..😆😆😆 you see
☺️😁Siku moja nimetoka majengo ya kaliua naenda sokoni sasa nafika majengo kati nakuta harusi shehe anasemaje "mwenye masikio haambiwi kula mwenye macho haambiwi sikia inshalaa tunasubulia kula ubwabwa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hili jina sio geni la selemani abasi atakuwq kasoma ukombozi au nimekosea mzee☺️😁
Homeboy Umenikumbusha Unamfahamu selemani abasi kwao ni jirani na sokoni?
Mwalimu khughaba kainda wenyewe ndio walikuaga na ukumbi wa kuonyeshea video na movies kitambo Sana mzee.
Poa tumaLeo nimeamka mtundu mtundu HOMEBOY nilikua nawachangamshaa 😊😊
Ntakutumia namba yangu inbox
Selemani abasi kwao karibia na sokoni jirani na nyumba ya mama yake na weli iliwahi kuungua kipindi hicho nadhani hata yeye ananifahamu huyu jamaa kasomea ukombozi☺️😁
Homeboy Umenikumbusha Unamfahamu selemani abasi kwao ni jirani na sokoni?
Mwalimu khughaba kainda wenyewe ndio walikuaga na ukumbi wa kuonyeshea video na movies kitambo Sana mzee.
😀😀😀😂😂😂😂Huyo jamaa kawa shekhe..
Astaghaffillah astaghaffillah 😂😂😂😂😂😂😂
😄Al Duktur Mufti Abubakar Zuberi. Ana Masters ya kutangaza kuandama kwa mwezi feki.
Saalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?
Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Saudi Arabia,Iran,misri,Oman.. nao wanasema kama wewe au umbumbumbu wako tu na uvivu wa kosoma ndio unajiliwaza uislamu unakutosha !! Haya kaajiriwe Sasa na cheti Chako Cha madrasa...Hivi nyie baadhi ya wakiristo mbona ni (insecure) Sana ni kama mnatafuta faraja sehemu isiyokuwepo
Sisi waislam hata kama tusengekua na chochote mali bachelors masters phds.
Dini yetu ya uislam(Quran na Sunna) imejitosheleza na inatutosha kwenye kila kitu wala hatuitaji faraja na kupewa moyo kutoka kwenye vitu vingine au watu wengine hasa makafiri na washirikina na tunajiamini bila chembe ya shaka.
Na hii mada yako sio kwa ajili ya kujifunza (ukijua kama masheikh wenye phds wapo au hawapo utaongeza nini kwenye maarifa yako)
UKOMBOZIHili jina sio geni la selemani abasi atakuwq kasoma ukombozi au nimekosea mzee
Siyo lazima ,maana hata hao maaskofu wako wengi wao hatujaona mchango wowote wa maana na hizo phd zao zaidi ya kuhangaika na hela za escrow na kutaka madaraka ya kisiasa kupitia mlango wa kanisa bila ya kujali kuvuruga amani ya nchi ambao wote na vizazi vyao tunaishiSaalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?
Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Homeboy tutawasiliana.Selemani abasi kwao karibia na sokoni jirani na nyumba ya mama yake na weli iliwahi kuungua kipindi hicho nadhani hata yeye ananifahamu huyu jamaa kasomea ukombozi
Mbona unang'ang'ania siyo wasomi kwani hapo ofisini kwenu wafanyakazi wote ni wakristo?Saafi kabisa, but ni kwa nini asilimia kubwa sio wasomi? Je, hawaoni umuhimu wa kuwa na elimu tofauti na elimu ya dini?
Hivi huyu selemani yuko wapi kwasasa maana nikiendaga urambo simuonagi halafu alikuwaga na dada yake wanafanana naeHomeboy tutawasiliana.
Sasa master au phd mbele ya muumba wako ina maana ganSaalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?
Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Ngurika kama utakuwa muislamu ni kuwa aya ya kwanza kupewa mtume ni "SOMA" (IQRA'A)Hakuna andiko lolote la kiislam lililokataza elimu.
Ni uvivu wa wahusika tu.