Sijajua mkuu mwenyewe nauliza pia!!!Atakuwa na masters au phd?
😅 Daah!
Kumbe. Nilijua ndivyo maandiko yao yanavyosema kumbe hapana ni uvivu wao tuHakuna andiko lolote la kiislam lililokataza elimu.
Ni uvivu wa wahusika tu.
Kwani wakibobea kwenye masuala ya elimu dunia kuna tatizo?Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Uvivu tu na kuamua kuchagua moja juu ya lingine.Kumbe. Nilijua ndivyo maandiko yao yanavyosema kumbe hapana ni uvivu wao tu
Nimekuelewa mkuu. Ila kwa huku kwetu wanaumwinyi aka usultan sanaUvivu tu na kuamua kuchagua moja juu ya lingine.
If anything uislam umehamasisha mno watu kusoma, rejea nchi zenye uislamu mwingi utaona jinsi elimu inavyopewa kipaumbele.