Je kuna shida gani kiafya kuingia chooni bila viatu ata kama choo anatumia mke na mume

Je kuna shida gani kiafya kuingia chooni bila viatu ata kama choo anatumia mke na mume

Haina shida kiafya ila kuvaa viatu ni kustaaribika na kuwa na maturity nakumbuka kipind nipo kinda ilikuwa kuvaa ndala ni vita mwendo wa kupekua(kutembea pekupeku) kila siku napoteza ndala lakini sahivi hunitoi nje hata hatua 10 bila malapa.
 
Tafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili ni sawa?
hii ni dhana potofu kuwa chooni ni kuchafu lakini kwangu mimi na mrs wangu hatuvai viatu tukiingia chooni ni pasafi sana
 
Back
Top Bottom