min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nakula pombe madam mzuri na pesa ninayo, 😂Ma sele kuna siku utakula mimivi yako we endekeza pombe tu..!!
Nakula pombe madam mzuri na pesa ninayo, 😂Ma sele kuna siku utakula mimivi yako we endekeza pombe tu..!!
Jirani alokuwa ananisongesha wifi kahama, kuna watu hawana utu kabisa🤣🤣🤣Shindikanaa wewe hautumii WiFi kabisa ? Unajua mimi kama mlevi nitashangaa kitendo cha wewe kutotumia WiFi humu ujue🤔 vipi kuhusu watu wazima wasio lewa kama mimi shindii 🤔
Sawa Mangi lewa tajiriiiii 😹Nakula pombe madam mzuri na pesa ninayo, 😂
Tajiri tena🤣🤣🤣Sawa Mangi lewa tajiriiiii 😹