Je kuna shida gani kiafya kuingia chooni bila viatu ata kama choo anatumia mke na mume

Je kuna shida gani kiafya kuingia chooni bila viatu ata kama choo anatumia mke na mume

Tafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili ni sawa?
Sema choo kikiwa safi??.jibu hakuna huko duniani choon hakuwekwi ndRa pl tafiti zinaonyesha vyoo vyenye kusafishwa kikamilf ni salama hata kula kuliko kitanda au Viti vya kukalia seblen au viti vya gari ushaona mtu amekaa kwenye kiti aungar mapaja waz au hajavaa mikwapa waz anapaka majasho kwenye viti hapo ndio mfano na hayo tunaona waz hata hapa kwetu
 
1749660452656.png
 
Kuna umuhimu pia wa kuangalia hali ya hewa ya eneo husika.
Kama ni maeneo ya baridi Kali au ni msimu wa baridi kali sakafu inakuwa na baridi kwahiyo kuingia chooni bila viatu inaweza ikawa na madhara kiafya hasa kama sakafu ina tiles, na hasa kwa kuzingatia kuwa chooni na bafuni huwa hakutandikwi mazulia.
 
Siyo lazima kama choo ni kisafi! Lakini uvae usivae ni mamoja kama choo hicho ni sehemu ya self container na wote mnazingatia kuflush uchafu na kutumia maji.
 
Back
Top Bottom