KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Haha! ipo siku utakuja kusema ukweli utakaokuponza!.Kaka pombe inasema ukweli , mimi unafki sipendi kabisa, mwanzoni nikiwa humu nilikua mnafki now nimeishinda hiyo tabia
Haha! ipo siku utakuja kusema ukweli utakaokuponza!.Kaka pombe inasema ukweli , mimi unafki sipendi kabisa, mwanzoni nikiwa humu nilikua mnafki now nimeishinda hiyo tabia
Hapa shida ni pesa tu, mimi nilishalewa nikaingia hoteli ya hadhi ya raisi nakudandia juu ya sinki nakukata gogo ki star, kipindi hicho nikiwa na pesa bwashee 🤔Watu tunakula hadi vyooni wewe unaongele kuvaa viatu??
Kaka mimi hakuna kitakacho niponza humu nikizingua tu nasema kumradhi jana nililewa sana😂😂😂Haha! ipo siku utakuja kusema ukweli utakaokuponza!.
uje utuwekee lipicha mjongeo la private halafu utuambie kumradhi!, tutamtafuta radhi tu kwasababu kum tunamjua!..😂Kaka mimi hakuna kitakacho niponza humu nikizingua tu nasema kumradhi jana nililewa sana😂😂😂
Enzi zangu walikua wanasema nina viwembe mguuni, nilikua nakata ndala balaa.Haina shida kiafya ila kuvaa viatu ni kustaaribika na kuwa na maturity nakumbuka kipind nipo kinda ilikuwa kuvaa ndala ni vita mwendo wa kupekua(kutembea pekupeku) kila siku napoteza ndala lakini sahivi hunitoi nje hata hatua 10 bila malapa.
Kitakua cha stand...na kama ni choo chako inamaana ana puu nje ya sink ama?Sasa mpaka uvikute vyote hivyo , kuna uchafu wa hali ya juu
Hahahahaha,uko vzr mdg wanguKaka haya maisha ni matamu sana , mimi toka nimetoa talaka zote nakula bata tu, dp ipo 123/ 84 mapigo ya moyo 73, sukari ipo 4.3 sina kitambi wala dalili yoyote ya kufa leo labda ajali tu
Hahaha chooo kinatakiwa kiwe zaidi ya chumbani kiusafiKitakua cha stand...na kama ni choo chako inamaana ana puu nje ya sink ama?
Mimi nafahamika kama mlevi humu hata nikiweka watu watajua ni utani wangu wa pombe tu🤣🤣uje utuwekee lipicha mjongeo la private halafu utuambie kumradhi!, tutamtafuta radhi tu kwasababu kum tunamjua!..😂
tunakutegemea sana kwenye swala zima lakutuchangamsha!, hivyo usiicheleweshe hiyo burudani mujarabu!.Mimi nafahamika kama mlevi humu hata nikiweka watu watajua ni utani wangu wa pombe tu🤣🤣😍
Hahahaha sio kweli bro haitokaa itokee 🤣 mimi sio Fala kihivyo japo sikatai naweza jisahau nikaposti utumbo ila sio video wala picha inayonihusu mimi bwashee hilo sahau, mnajisahau sana mimi kuwa ni Jack sparrow 🤔tunakutegemea sana kwenye swala zima lakutuchangamsha!, hivyo usiicheleweshe hiyo burudani mujarabu!.
Wanaanzaga hivihivi na majina majina baadae linabadilika linakuwa jack makoneksheni...🤣Hahahaha sio kweli bro haitokaa itokee 🤣 mimi sio Fala kihivyo japo sikatai naweza jisahau nikaposti utumbo ila sio video wala picha inayonihusu mimi bwashee hilo sahau, mnajisahau sana mimi kuwa ni Jack sparrow 🤔
Mimi ni Jack sparrow bwashee , nikiwa high school washkaji walivuta bangi na kula viroba kama mimi baada ya matokeo ya mwisho wakaniita snitch 🤣🤣🤣Wanaanzaga hivihivi na majina majina baadae linabadilika linakuwa jack makoneksheni...🤣
Usikose kikao cha ukoo mwaka huu.Mimi natumia choo changu peke yangu , nikilewa naingia bila viatu bila shida yoyote nafanya yangu , nikizidiwa na pombe nalala chini nafungulia maji yanimwagikie tu🤔
Mh!Mimi ni Jack sparrow bwashee , nikiwa high school washkaji walivuta bangi na kula viroba kama mimi baada ya matokeo ya mwisho wakaniita snitch 🤣🤣🤣