Je kuna shida gani kiafya kuingia chooni bila viatu ata kama choo anatumia mke na mume

Je kuna shida gani kiafya kuingia chooni bila viatu ata kama choo anatumia mke na mume

Tafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili ni sawa?
Kwangu kila mtu ana Choo chake na sijawahi kuingia na viatu au ndala. Choo kwa upande wangu ni private room maana naweza kukaa humo hata saa nzima
 
Tafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili ni sawa?
Weka sawa huku choo au choo kingine?
 
Kama mkeo ni msafi unaweza kuingia peku tu mkuu.

Anyway, hukumwelewa tu huyo ndugu yako. Yeye alimaanisha choo kama choo
 
Nipe bando kwanza🤣🤣🤣
Shindikanaa wewe hautumii WiFi kabisa ? Unajua mimi kama mlevi nitashangaa kitendo cha wewe kutotumia WiFi humu ujue🤔 vipi kuhusu watu wazima wasio lewa kama mimi shindii 🤔
 
Haina shida kiafya ila kuvaa viatu ni kustaaribika na kuwa na maturity nakumbuka kipind nipo kinda ilikuwa kuvaa ndala ni vita mwendo wa kupekua(kutembea pekupeku) kila siku napoteza ndala lakini sahivi hunitoi nje hata hatua 10 bila malapa.
Kutembea peku kwenye floor tiles ni janga kubwa kiafya ila kutembea peku kwenye ardhi ina faida zake.
 
Hakuna shida yoyote, nami ni mmojawapo ninaetembea peku; muhimu mazingira yawe safi.
 
Wote Wana magari.
Wote wanaishi self contained rooms.
Wote ni mafundi ktk mambo yetu Yale.
Wote ni vyoo vyao ni visafi kiasi waweza kula, kunywa maji hata kulala huko huko chooni.
That is an expensive joke don't take serious.
Anyway, mi Sina mazoea yakuingia chooni bila malapa hata kama choo ni kisafi kiasi gani. Nafkiri ni mazoea ya kukulia uswahilini ktk vyoo vichafu vya passport size. Nafkiri bado sija graduate ktk mazingira ya uswahilini.
 
Mimi natumia choo changu peke yangu , nikilewa naingia bila viatu bila shida yoyote nafanya yangu , nikizidiwa na pombe nalala chini nafungulia maji yanimwagikie tu🤔
Ma sele kuna siku utakula mimivi yako we endekeza pombe tu..!!
 
Back
Top Bottom