Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Hahahahaha,sawa sawaMimi natumia choo changu peke yangu , nikilewa naingia bila viatu bila shida yoyote nafanya yangu , nikizidiwa na pombe nalala chini nafungulia maji yanimwagikie tu🤔
Nini kuingia bila viatu!! watu wanaingiamo na chakula humo na wanakula fresh tuTafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili ni sawa?
Kaka umecheka tu kwanini lakini 😂Hahahahaha,sawa sawa
Choo hakiwezi kuwa kichafu kama hakijachafuliwa.. Sisi ndio tunaweza kukifanya kichafu au kisafi kwa utashi wetuMimi natumia choo changu peke yangu , nikilewa naingia bila viatu bila shida yoyote nafanya yangu , nikizidiwa na pombe nalala chini nafungulia maji yanimwagikie tu🤔
Kabisa kaka mkubwa , wewe umeweza kutafsiri ujumbe wanguChoo hakiwezi kuwa kichafu kama hakijachafuliwa.. Sisi ndio tunaweza kukifanya kichafu au kisafi kwa utashi wetu
Enzi niko bachelar ilikua zangu kuzima choooni kisha nafungua showerKaka umecheka tu kwanini lakini 😂
Kaka haya maisha ni matamu sana , mimi toka nimetoa talaka zote nakula bata tu, dp ipo 123/ 84 mapigo ya moyo 73, sukari ipo 4.3 sina kitambi wala dalili yoyote ya kufa leo labda ajali tuEnzi niko bachelar ilikua zangu kuzima choooni kisha nafungua shower
Kikiwa kisafi kikavu hakuna madhara
Tatizo ni kuwa wabongo wengi hudhani choo ni lazima kiwe sehemu chafu. Ni sehemu chache sana utakwenda chooni ukute kuna ni kisafi.Nini kuingia bila viatu!! watu wanaingiamo na chakula humo na wanakula fresh tu
Sasa mpaka uvikute vyote hivyo , kuna uchafu wa hali ya juuKuna mamilioni ya bakteria kwenye "kimba" na mkojo wa binadamu.
hii ni dhana potofu kuwa chooni ni kuchafu lakini kwangu mimi na mrs wangu hatuvai viatu tukiingia chooni ni pasafi sanaTafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili ni sawa?